Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Nahisi nimeachwa ila naombea niwe sijaachwa😁.

Siwalaumu kwa kutaka sura t rangi sababu washajikatia tamaa kupata huyo wa mithali mkuu so acha wafaidi uumbaji

Sijalalamika mbona mkuu na wala usi edit😁
Naanza kukuonea huruma nimetoa neno la mwisho. Kama umeachika kaza moyo na nitakusaidia mrembo
 
Amekufanyaje
Siwezi kusema kiundani ila kutokana na sababu fulani fulani amepata picha mbaya kuhusu mimi.Kibinadamu yuko sawa kudhani niko hivyo wala hana makosa ila kiuhalisia siko anavyodhani tatizo yeye sio Mungu kuona ambavyo upeo wa macho ya binadamu hauwezi kuona.Kinachoniuma ni kwamba nampenda sana na amekua mtu mzuri sana kwangu ila sina jinsi yakumtoa imani mbaya aliyoijenga juu yangu.

Vitalis Msungwite hii
 
Siwezi kusema kiundani ila kutokana na sababu fulani fulani amepata picha mbaya kuhusu mimi.Kibinadamu yuko sawa kudhani niko hivyo wala hana makosa ila kiuhalisia siko anavyodhani tatizo yeye sio Mungu kuona ambavyo upeo wa macho ya binadamu hauwezi kuona.Kinachoniuma ni kwamba nampenda sana na amekua mtu mzuri sana kwangu ila sina jinsi yakumtoa imani mbaya aliyoijenga juu yangu
Pole sana mom,tulia,Kaa kimya,...kama ni mtu sahihi kwako kilakitu kitakaa sawa
 
Back
Top Bottom