1. Je, ni kweli kwamba wakati wa utawala wa MUAMMAR GADDAF wananchi wa LIBYA waliishi maisha yenye uafadhali?
2. KAMA NI KWELI: Je, ilikuwa ni muhimu kwa wananchi wa LIBYA kabla ya kumshambulia Rais wao walipaswa kuishi kwenye haya maneno yasemayo; "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO?"...
1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa.
2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
Ndugu zangu habari..
Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa.
Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
Wanabodi
Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe
Najua nimewachanganya kidogo au sio
Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji...
Habari wanajamvi,
Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
afya
afya tanzania
bila
bima
bima ya afya
bora
gani
gharama
gharama nafuu
huduma
huduma bora
jambo
kuambiwa
kufanya
maisha
nafuu
shirika
tanzania
tujitafakari
Ndg wana JF salaam?
Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa
1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2)...
Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi?
Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini?
Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine.
Lakini pia tujiulize...
Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya.
Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!"
Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025
Uamuzi wa kuahirisha Uchaguzi na Bunge kupitisha azimio hilo, umeibua vurugu na maandamano nchini...
Kwema Wakuu!
Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.
Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.
Mimi ndoto yangu...
Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua.
Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira
Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa...
Amani iwe nanyi wapendwa.
Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.