kusifiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunda gani ulikuwa unalitamani kutokana na kusifiwa ila baada ya kulionja hulitaki tena?

    Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo. Nikawa natamani sana kulionja, ila siku niliyolionja nikasema chaaa nini hiki, sitaki hata kulisikia tena...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 'Kuruka ruka' kwa Mpina kumetusaidia kujua Rais pia anapenda mapambio, tusiwalaumu sana wakina Lucas

    Wakuu Kwa kilichotokea leo kati ya Luhaga mpina Mbunge wa Kisesa na Rais Samia ni dhahiri kuwa Rais pia anayafurahia mapambio anayoimbiwa. Mapambio kama vile "mama ametekeleza" "mama hatumdai" nk. Leo Rais anampangia mbunge kwamba ulipaswa kusema hiki kimejengwa kile kimeboreshwa nk. Kwa hiki...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi... Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Idi Amin alipendwa kudanganywa kwa kusifiwa hata kubadilishwa mawazo ndio kilichopelekea kuanguka kwake

    Idi Amini alishawai kudanganywa na askari wa mpaka uganda na Tanzania kuwa askari wake kawapiga askari wa Tanzania. Walifanya sherehe na kumpa vyeo. Kuna siku alidanganywa kuwa wanaweza kufika mpaka Dar es Salaam na kuitisha vyombo vya habari hatafika mpaka huko.
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Rais Samia Suluhu Hassan ni nani anafuatia kwa kupendwa na kusifiwa?

    Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  8. The Lost Boy

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anapenda kujisifu

    Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu. Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma. Kiongozi anaposimama jukwaani katu hajipondi bali hujisifia Fundi kujenga, fundi kuchona, Mwalimu, daktari, wachezaji, kocha,.. kila mtu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia. Nilipofika karibu yake...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

    Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia Mfano eti unamsifia...
  12. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Sio wanawake tu, hata wanaume hupenda kusifiwa

    Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani utasikia"ah kawaida tu mbona hahh" yaani haipi uzito sana kwa wakati huo lakini amependezwa! Mwanamke...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan wajisifu kudondosha misaada Gaza.Je, wanastahiki kusifiwa?

    Mfalme Abdallah wa Jordan hapo jana alitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo bila hofu lilidondosha misaada muhimu kwenye kituo chake kilichopo Gaza katikati ya vita vinavyoendelea. “Our fearless air force personnel air-dropped at midnight urgent medical aid to the Jordanian field hospital in Gaza,”...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kusifiwa tu, achana na siasa

    Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa. Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
Back
Top Bottom