taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF ingesogeza mbele dabi kama mechi za kirafiki kwa Taifa Stars zingekuwa muhimu kwao.

    Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu. TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT | Madagascar 1-1 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2027

    Taifa Stars ipo ugenini ikimenyana na Madagascar katika mchezo wa pili wa Kundi L wa kufuzu AFCON 2027. Hadi sasa timu hizo ziko sare ya bao 1-1; Charles Kachwele aliitanguliza Tanzania dakika ya 39 kabla ya Nicolas Fontaine kuisawazishia Madagascar dakika ya 50. Stars imeingia katika mchezo...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Taifa Stars YANANIKOSHA SANA.

    Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Kampeni: Watanzania tununue jezi za Taifa Stars kwa wingi kutoka Sandaland

    Utawala wa Sheria Ushinde: Kila Mtanzania Anunue Jezi Halisi ya Taifa Stars Kutoka Sandaland! Katika nchi inayoongozwa na misingi ya sheria, maoni binafsi ya kiongozi hayawezi kamwe kuwa juu ya mikataba halali na sheria za nchi. Sakata la jezi za Taifa Stars limeonyesha wazi ukiukwaji mkubwa wa...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Licha ya kuwa Tanzania tayari...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la jezi mpya za Timu ya Taifa: Kati ya Kulinda Hadhi ya Nchi na Mipaka ya Kisheria ya Kiutawala

    Heshima yenu wakuu na wanafamilia wote wa JamiiForums. Imekuwa ni desturi yetu kukutana hapa jukwaani kubadilishana mawazo, kutafakari, na kuweka mambo sawa pale tunapoona mustakabali wa taifa letu unahitaji jicho la ziada. Leo nimeona si vibaya tukaweka mezani mada inayotikisa kwa sasa katika...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Taifa stars vs Guinea Bissau itachezwa wapi?

    Simba na Yanga zinapelekwa Zanzibar. Je, timu ya taifa nayo ityapelekwa huko?
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

    Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii iliyoponda ubora na uhalali wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mzabuni wa Jezi Taifa Stars Sandaland kumpeleka Makonda Mahakamani

    Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli iliyotolewa hadharani na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu jezi za Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Hatua hiyo imetangazwa kupitia tamko rasmi la kampuni hiyo...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TFF: “Suala la Jezi za Taifa Stars Lipo Mamlaka za Juu”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu. Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
  12. masai dada

    JamiiForums Tanzania kwa hiyo jezi ya taifa stars tununue au tusinunue? kulingana na maneno haya ya waziri

    Kuna zingine zinakuja?
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Taifa stars angechukua nafasi ya Argentina, angeishia hatua gani world cup?

    Katika kundi linalojumuisha Tanzania, Algeria, Jordan na Austria nina uhakika pasipo na shaka Tanzania angepata nafasi moja kati ya tatu kumwezesha kufuzu. Tanzania vs Algeria. Hawa tunawajua na tushacheza nao mara kadhaa. Kwa sasa Algeria wameshuka kiwango sio wa kipindi kile ambacho...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula arejea rasmi kikosi cha Taifa Stars kinachoingia kambini Machi 22, 2026

    Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026. Orodha hiyo iliyotangazwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inajumuisha mchanganyiko wa wachezaji wa ndani na wanaocheza nje...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars wapokelewa leo kutoka Morocco, Fedha za mapokezi zimetoka wapi?

    Nimeshuhudia mapokezi ya leo ya Taifa Stars. Kwa maandalizi na ukubwa wa tukio, ni kana kwamba wamechukua ubingwa wa AFCON, ilhali walishia hatua ya 16 bora, na hata kufika hapo walipata nafasi kupitia best losers. Sasa swali linabaki: gharama zote za maandalizi haya zimetoka kwenye bajeti ipi...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Samia ametoa ndege aina ya Boeing Dreamliner kwenda kuwachukua Taifa Stars nchini Morocco

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora, Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari...
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars wanastahili Tuzo ya Amani huko Morocco

    Taifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Engineer turudishie Gamondi. Kama alikuwa analewa amejifunza sasa

    Congrats Mr Gamondi. Nimekupenda bure mkuu. Najua Morocco wamechanganyikiwa vibaya, aisee. Mkuu mwezi mmoja tu umeweza kuwaunganisha timu. Waendelee hivyo, aisee. Eng, embu tujaribu tena kama huyu Banaa ataanza kuzingua. J. Kiwelooo. Na yule shehe wenu wa Tanga hahaha.
Back
Top Bottom