mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli. Kazi yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Klabu za Tanzania zinaenda kumlipa mchezaji wa ndani milion $ signing fee, Muhindi kashikwa pabaya. hana budi kucheua mapene.

    Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali. Hakuna mchezaji wa...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Yanga wana nyakua mchezaji kambi ya Simba kama tukio la Marekani kumnyakua Maduro, Ada ya kuuzwa Fei Toto italipa ya Seleman Mwalimu.

    Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto) kujipoza machungu au wanaita comeback, kumbe wanailipia Yanga ada ya Seleman Mwalimu kwa Wydad. Magori...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

    Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna ulazima kwenye haya matamasha kila mchezaji ACHEZE?

    Yaan kuanzia Jana mechi ya Simba na Leo Yanga wanacheza kama timu za shule ya msingi sababu yakulazimisha kila mchezaji acheze, yaan hivi vitoto haviko serious na MPIRA
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mchezaji auwa kwa kupigwa na majambazi

    Nahodha wa klabu ya SC Villa ya Uganda, David Owori, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi karibu na nyumbani kwake. Taarifa za kifo cha Owori, zimethibitishwa na klabu hiyo, kupitia ukurasa wake wa X, Agosti 5, 2026. Kulingana na taarifa hizo, Owori alikuwa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daniel Adongo, Mchezaji wa Zamani wa NFL, Ahamishwa kutoka Marekani hadi Kenya

    Daniel Ogama Adongo, mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL) na raia wa Kenya, amehamishwa kutoka Marekani hadi Kenya na mamlaka ya uhamiaji ya nchi hiyo baada ya kukiuka masharti ya visa yake. Kwa mujibu wa mamlaka ya U.S. Immigration and Customs Enforcement (ICE), Adongo...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wydad kuishtaki Simba kwa kumtangaza Seleman Mwalimu kuwa mchezaji wao

    Klabu ya Wydad Casablanca imekanusha taarifa ya kufikia makubaliano na Simba SC juu ya mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' kusalia kwa Wekundu hao wa Msimbazi kwa msimu mmoja zaidi wa mkopo ikidai taarifa hiyo haina ukweli wowote na kwamba klabu hiyo haijasaini makubaliano yoyote ya mkopo...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Messi amedhulumiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano

    Rodri hana goal wala assist. Messi ana goli 8 na assist 4. Rodri mchezaji bora wa mashindano wakati Messi sio. Hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
  10. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

    1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu. 2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14. 3.kacheza dakika 1230. 4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha. Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?

    Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?
  12. PLOII

    JamiiForums Tanzania WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

    Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England. I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or give a cross earlier before the critical deadlock from the two defenders. Number of goals this season...
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tutafungwa 2-0/2-kuna mchezaji akiwepo nitajua 3 zinatuhusu

    MPAKA SASA HALI SIO NZURI KWETU MPAKA SASA INAONEKANA FT MATOKEO YATAKUWA 2-0/2-1 KUNA MCHEZAJI AKIWEPO KWENYE LIST NTAWAJUZA MAPEMA 3 ZINAWEZA KUTUHUSU ALL N ALL KILA LA KHERI TIMU ZOTE
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

    Wahindi nao wameamua wasiwe wanyonge wakaona kuweka sanamu la messi lenye urefu wa futi 70. 😄 Nimeshindwa kuendelea imebidi nicheke.
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba kila Kiongozi ana mchezaji wake na kila moja anataka mchezaji wake aanze na hapo ndio shida huanzia

    Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa) Mpanzu ni Try Again na wanaompenda Simba yani akina Matola. Wale wa skauti wa Mo ni kujipigania hata kama una...
  20. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania TFF naona mmesahau kumchunguza mchezaji huyu dume linalojifanya jike kwanini??

    Nawasilisha
Back
Top Bottom