kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Huu mti niutazamapo najihisi kulia

    Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za kila siku. Siku Moja nikiwa naingia ndani, nilipata mshituko, Kuna jambo nililishuhudia, la...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania jana nilileta uzi wa kulia lia kuwa duka langu lina mauzo madogo, sasa nimeona kulia lia hakuna suluhisho, nafikiria kujibana na nianzishe side hustle

    Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/ Leo👇 OMBI LANGU KWENU WANA JF Sihitaji kuomba kukopeshwa humu wala msaada wa fedha bali maarifa kuhusu...
  3. Idrisa1510

    JamiiForums Tanzania Mtoto alichelewa kulia baada ya kuzaliwa na anapitia changamoto kazaa, naomba ushauri wa kitabibu

    Mimi si mtaalam wa masuala ya afya, frstborn wangu amepatwa na changamoto na mimi ni mzazi mpya (baba mpya). Tarehe 11 mwezi huu wa 9 ndio alizaliwa. Njia ya uzazi ilikua ni ya kawaida japo iliambatana na changamoto nyingi kutokana na mke wangu ndio alikua napata uzazi kwa mara ya kwanza...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Haji Manara apandwa na wazimu baada ya Oscar kuilalunu serikali, ataka kulia studio

    Haji manara apandwa na sukari studio. DIWANI WA KARIAKOO KAPANIC
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kudos US kwa kumuwekea vikwazo rais wa ICC maana wapo compromised. Hawataki kudeal na waharifu ila wapo obsessed na Israel na nchi za mrengwa wa kulia

    mcTobby
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Trump anajuta na kulia kuhusu Iran

    Mashambulizi ya Iran yamejeruhi takriban wanajeshi 100 ndani ya wiki mbili - Pentagon Chanzo cha picha,Getty Images Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imesema takriban wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa katika mashambulizi ya Iran ndani ya kipindi cha wiki mbili zilizopita, hali...
  7. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania ONYESHA VIDOLE VYA MKONO WAKO WA KULIA NIKWAMBIE TABIA ZAKO.

  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania 😄 Yale yale ya wakajifanya Waroma kumbe watu wengine.Embu angalia kushoto na kulia nao ni wachungaji wakisimama na shikh mwaipopo.

    Kuna mambo yanazidi kuweka aibu na kutufanya kuwa channel ya vituko kwa wengine wanaotutazama. Hivi ushaona mchungaji mara nyingi wa KKKT wana kora kama hiyo upande wa kushoto. Huyu wa kulia sijui wamemkurupusha na visungura na koti la kuokota. 😄
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu na methali ya mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe

    Hivi karibuni kumekuwa na kauli zenye mwelekeo wa kibaguzi kutoka pande mbili za muungano wetu. Na mpaka sasa hatujasikia kauli thabiti ya serikali kuzikemea kauli hizi. Wasiwasi wangu, kauli hizi zikiachwa zishamiri zitauingiza muungano wetu kwenye mgogoro mkubwa. Tusisahau mdharau mwiba huota...
  10. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

    Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi. MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji. Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacque

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  15. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Dec 6 Askofu atakuja kama Winga wa Kulia

    Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu. Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme. Walahi watu wabaya...
  16. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii: Kicha changu kina pande kuu 3: Kulia Quran, Kushoto Bible, Dunia ipo katikati

    Hiyo kumaanisha kwamba, dini hizi 2 ndizo zinaibalance dunia na sote tunategemeana. Shaloom alley kum ndugu zanguni, muwe na jumapili njema.
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mlioweka Pes UTT Amis kazitoeni haraka sana mnaenda kulia

    Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tazama Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda akitoa watu mapepo

    Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe. Asili ni nguvu💪
  20. PLOII

    JamiiForums Tanzania NENO LA TAREHE 27.08.2025; Ukipata Nafasi ya kuweka Misingi ya Haki Katika Taifa Fanya Hivyo Zama Hazigandi, Pole pole sio kulia Leo wengine somo Hilo

    Habari ya Wednesday Wana Jf, Neno la Leo Kwa ufupi, Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki. Nani asiyejua kuwa Kuna...
Back
Top Bottom