ukoloni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

    Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya. Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
  2. G

    Unyapaa wa Waafrika kwa dawa na chanjo za Magharibi ulianza wakati wa ukoloni

    Huwa kuna mijadala mingi mitandaoni kuhusu huduma za kinga na tiba tunazopewa na wazungu. Wapo wanaosema kuwa kuendelea kupewa misaada ya chanjo na baadhi ya tiba ni moja ya njia inayotumiwa na wazungu kupunguza kasi ya watu weusi kuzaliana. Nimefuatilia makala iliyorushwa na Dw inayoonesha ni...
  3. Roving Journalist

    Watanzania wanaotaka Ujerumani walipe fidia ya Ukoloni waambiwa wafuate utaratibu

    Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
  4. Roving Journalist

    Wawasilisha Barua Ubalozi wa Ujerumani wakitaka walipwe fidia kutokana na Babu na Bibi zao kuteswa wakati wa Ukoloni.

    The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni. Kupitia taarifa yao...
  5. D

    Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
  6. Kijakazi

    Ujerumani waombeni mambo ya Maana siyo Ujinga wa Ukoloni!

    Raisi wa Ujerumani anakuja Tanzania, Ujerumani ilianzisha nchi yetu kama tuijuavyo leo hii, ukiondoa Zanzibar, walichagua mipaka vizuri na kupata vitu vingi vya kipekee kama Mlima Kilimanjaro ambao 100% uko ndani ya mipaka yetu, Maziwa Mito na Bahari, tuna fukwe za Bahari ya zaidi ya km 1000...
  7. M

    Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

    Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine. Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine...
  8. Teslarati

    Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  9. B

    Je, CHADEMA na Wananchi Peke yao wanaweza kupambana na Ukoloni Mamboleo?

    Ni wakati sasa tuanze kufikiria namna ya kucheza na siasa zetu. Je Chama cha siasa kama chadema na wafuasi wake wasiozidi Milioni 30 Tanzania wanaweza kupambana na Ukoloni Mambo leo wakashinda? Nitafafanua kwa kutoa mifano iliyojengeka kwenye dhana zifuatazo. 1. Chama dola chama cha mapinduzi...
  10. Webabu

    Ukoloni umefikia daraja la tano, la sita liko njiani na inatisha

    Tumezoea kusoma na kufanyia mitihani nadharia za wazungu.Leo na mimi mswahili naleta nadharia yangu juu ya mgawanyo wa ukoloni.Napendekeza wasomeshwe vijana wetu wa masomo ya DS mwaka wa mwanzo na wa pili chini ya kipengele chenye jina la Ami's colonial classification. Hapa nitazitaja hatua...
  11. jamesandrew

    Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  12. Dr Akili

    Walitufanyia utumwa baadaye wakatufanyia ukoloni na sasa wanatuwekeza! Malengo yao ni yale yale, tuwe makini

    Bara la Afrika ndiyo bara tajiri sana kuliko mabara yote duniani, kuanzia kwenye rasilimali watu (human resources) hadi kwenye rasilimali asili (natural resources). Ni bara kubwa lenye majitu yenye nguvu yanayo stahimili dhoruba mbali mbali kuliko watu wengine duniani. Ndiyo maana utaona...
  13. K

    Ukoloni unarudi Tanzania?

    Na Thadei Ole Mushi Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa Mzungu, Uwanja wa ndege wa KIA nao tumeutoa, TPDC tumeitoa, Bandari...
  14. Mzee Saliboko

    Ukoloni na biashara ya utumwa(waarabu)

    Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu. Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara? Japokuwa mkoloni alikuwa na mabaya yake kama kutesa, kushurutisha, kuaibisha na bogus treaty lakini kuna kitu cha maana aliacha...
  15. L

    Afrika yawa jicho la "diplomasia ya rasilimali" chini ya ukoloni mambo leo wa Magharibi

    Wakati wa kuhudhuria Mkutano wa G7 uliofungwa hivi karibuni mjini Hiroshima Japan, kamishna wa biashara wa Umoja wa Afrika Bw. Albert Muchanga alisema wazi mbele ya waandishi wa habari kuwa zama ya ukoloni ilikwisha, kwa sasa bara la Afrika halitaki kuwa ni chanzo tu cha maliasili kwa nchi...
  16. O

    Kwanini tuko hapa? Nini kimetokea baada ya Waafrika kuchukua mamlaka?

    Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu kwa mtu kujifunza na kukua. Jambo lililowazi na muhimu, katika zama zote hizi, ni 'Kukua'. Hii...
  17. Mganguzi

    Ubepari katika siasa za kibwanyenye hapa Tanzania, ni bora ukoloni

    Tulivyowaondoa wakoloni tulikubaliana kuwa tutakuwa huru na tukaanza kujenga siasa za ujamaa na kujitegemea! Hatukusema waliopigania uhuru watakuwa miungu watu. Makabaila na mabwanyenye! Tulikubaliana uhuru kwa wote na usawa miongoni mwa jamii yetu. Tulikubaliana kwamba binadamu wote ni sawa...
  18. Teko Modise

    Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  19. M

    Ukoloni unavyozidi kuwaangamiza Waafrika kwenye nchi zao

    Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu. Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba kama miaka ya 1500 wazungu waliizunguka dunia kutafuta fursa, sisi ngozi nyeusi hasa watanzania...
  20. T

    Kiburudisho cha mwaka mpya cha Tamthiliya ya Ukoloni wa Yesu

    ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British. It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.- MISSIONARY LEADER SLAVE is some one who you own and works for you, under all conditions, and obeys you in...
Back
Top Bottom