Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.

Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
kambini si anaruhusiwa kuwepo? au hata kambini hatakiwi kuwepo?
 
baada ya caf kumsimamisha kwa utovu wa nidhamu nayo timu ya taifa imeamua kumpumzisha kwa mda usiojulikana
Timu ya Taifa imeamua kumpumzisha? au unachanganya na TFF!!!

TFF na Karia wake ni wajinga?

TFF ikimpumzisha Ina maana inamkwepesha kutumikia Adhabu aliyopewa na CAF...ni ujinga!?

Anatakiwa kuendelea kufundisha Timu yake na Adhabu ya kukosa mechi nane inasimama, yaani hawezi kukaa ktk Bench la ufindi wakati wa Mechi...hii ndio Adhabu.

TFF ya Karia ni ovyo kupqta kutokea
 
Tusi msingizie kocha, Timu yetu ya Taifa ni dhaifu hata angekuja kocha wa kiwango Cha juu Bado tunaitaji wachezaji wanao cheza nje ya bara la Afrika hasa Ulaya.

Tunahitaji wachezji vijana kama walivyo Senegal, vijana wabichi kabisa wenye Kasi na uwezo mzuri.
Hatuwezi kwenda kokote na wachezji wa ndani.
 
Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.

Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
 
Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.

Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
ni upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom