feisal

Feisal Abdul Rauf (Arabic: فيصل عبد الرؤوف, born October 23, 1948) is a Kuwaiti-born Egyptian-American Sufi imam, author, and activist whose stated goal is to improve relations between the Muslim world and the West. From 1983 to 2009, he served as Imam of Masjid al-Farah, a mosque in New York City. He has written three books on Islam and its place in contemporary Western society, including What's Right with Islam Is What's Right with America, and founded two non-profit organizations whose stated missions are to enhance the discourse on Islam in society.
He has condemned the 9/11 attacks as un-Islamic and called on the U.S. government to reduce the threat of terrorism by altering its Middle Eastern foreign policy. Author Karen Armstrong, among others, has praised him for his attempts to build bridges between the West and the Muslim world. In 2010, Sufi Imam Rauf received national attention for his plans to build Park51, an Islamic Community Center, two blocks from Ground Zero in Lower Manhattan.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum analala usingizi kweli?

    Hiki Okello anamfanyia jamaa ni nini?
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Feisal hana soko nje kama Mzize na Kibu D

    Humu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa. Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa, wala sijawahi kusikia akiitwa kwenda kufanya majaribio huko nje. Ila Kibu Denis mara nyingi kaitwa...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum "Fei Toto" kachemka hili swali, wewe ungeweza?

  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu tatu zinazokwamisha Feisal Salum asiende kuchezea Simba

    Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa zinazokwamisha uhamisho huo. Gharama inayotajwa ya bilioni 2 na ushee siyo pesa nyingi kulinganisha na faida...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum ; Hakuna mchezaji mwenye chenga na ufundi mwingi Ligi kuu bara kumzidi Pacome zouazoua, Hakuna mchezaji mwenye IQ kubwa kama Khalid aucho

    "Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Selemani Mwalimu ni bora kuliko Kibu D na Feisal Salum!!

    Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji. Kwa mtazamo wangu ninaona Feisal Salum na Kibu Denis ni wachezaji wakubwa zaidi ya Selemani Mwalimu. Hivi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal apewa ofa ya kuongeza mkataba hadi 2028, signing fee milioni 800+, mshahara milioni 80

    Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa Feisal ofa ya mshahara wa takribani milioni milioni 80 na signing fee mara 10 zaidi. 🔹 Mkataba wa...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

    Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
  10. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Usajili Wa Feisal na Mabululu ni Danganya toto kama mlivyodanganywa kwa Manzoki

    Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua" Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha, Haikua...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Embu tusidanganyane Mzize, Feisal Ulaya wataisikia tu

    Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi. Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak yao, umri tayari umesogea, ligi yetu haipo kwenye rada za mascout wa Ulaya na hatuna historia ya kutoa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna ofa Yoyote kwa feisal kwa club za ndani

    Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc. Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa 1B kwa klabu ya 🇹🇿. Yanga atapata 25% ya mauzo ya...
  13. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum mbioni kujiunga na Simba

    Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la usajili la Januari. Wekundu hao wa msimbazi wako...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

    Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Feisal kuhamia Simba, atasugua benchi mwaka Mzima

    Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima. Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC
  16. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum nakusalimia Kijana wangu. Habari za Kigali

    Nasikia ulijiapiza kuwa ligi ya mabingwa Caf kuwa unataka uwaonyeshe Simba na Yanga mpira unavyochezwa. PIA SOMA - News Alert: - FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  17. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

    Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea nguvu zile zile walizokua wanatumia kumsupport feisal wazitumie kwa kibu dennis Kwa sasa hivi...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Feisal alimkimbia Aziz Ki, Aziz ki anamkimbia Chama

    Fahari wawili hawakai zizi moja, kipindi Feisal yuko Yanga kuna watu walimuona Aziz ki ni wa kawaida sana, ila kiukweli Feisal alikuwa akipambana mno, waliishia kutupiana majeen tu, Feisal akaona akimbie kuepusha shari, Sasa Aziz ki anaogopa kufunikwa na kivuli cha Chama, asije tena kuonekana wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Feisal salum team ya taifa ni useless. Tutafute mchezaji mwingine

    Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine. Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

    Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
Back
Top Bottom