tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanganyika Law Society

    Tamko la Tanganyika Law Society (TLS) juu ya uamuzi wa kamati ya mawakili kumuondoa Bi. Fatma Amani Karume katika rejista ya mawakili Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) JUU YA UAMUZI WA KAMATI YA MAWAKILI KUMUONDOA BI. FATMA AMANI KARUME KATIKA REJISTA YA MAWAKILI TANZANIA BARA NA UAMUZI WA WAKILI FATMA AMANI KARUME KUKATA RUFANI Mnamo tarehe 2 Oktoba 2020 Baraza la Uongozi la Tanganyika Law Society (TLS)...
  2. J

    Uchaguzi 2020 Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

    Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui. Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli. Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena! Maendeleo hayana vyama!
  3. Replica

    KIGOMA: Rais wa Burundi, Evariste Ndaishimiye apokelewa na Rais Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika, asema ana uhakika Dkt. Magufuli atashinda uchaguzi

    Leo Rais wa Burundi, Evarist Nditiye amewasili nchini kwa ziara ya kiserikali na anapokelewa punde na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. 3:30 Asubuhi: Rais Magufuli ameshaingia uwanjani, kwa sasa wasanii kadhaa wanatoa burudani...
  4. Makala josee

    Kizazi cha wenye kuijua vyema Tanganyika kinakwisha

    Ni wazi wazee na waasisi wa Tanganyika wanapukutika TANGANYIKA ilipokea uhuru wake kutoka kwa mkoloni wa kiingereza hata hivyo uhuru huu haukuwa ni ule wa kushika mtutu pamoja nakuwa nyuma kidogo wakati wa kuingia mjerumani kulipiganwa vita kati ya wazee wetu na wamisionari waliokuja na lemba la...
  5. Erythrocyte

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  6. S

    Rais Magufuli wa Tanganyika 2015-2020

    Ni wazi uchaguzi umeshavurugwa, hili halina shaka kitakachojiri anakijua Mwenyezi Mungu. Tunavyoona na inavyoonekana CCM inachuchukua ushindi kwa kuengua wagombea ikiwa ni zoezi la mwanzo, zoezi la pili ni kuengua wapiga kura, zoezi la tatu ni kubadili matokeo ya kura ikifuatiwa na zoezi la...
  7. C

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi mkuu 2020 na hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi. Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano mkubwa ACT wakashida. Hapa ndo penye shida je CCM wako tayari kukabidhi Zanzibar kwa ACT ? Je, hatma ya...
  8. Mlenge

    Kukunja kushoto kwenye Mataa

    Mfano mzuri ni kona ya Barabara ya Bibi Titi Mohamed na Mtaa wa Maktaba ukiwa unatokea Mwenge. Mfano mwingine ni TAZARA kama unatoka mjini kukata kona ya kushoto kuingia Barabara ya Mandela. Utakuta madereva wanaogopa kukata kushoto kwa vile watakamatwa. Pana sababu zipi wakamatwe?
  9. Influenza

    Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

    Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika. Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha. Taarifa zaidi zinakuja....
  10. ZebraPlus

    Ubeberu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni wa kiwango kisichostahamilika

    Wakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake. Muda mfupi tu baada ya Muungano taratibu tanganyika ikajiona sasa ni Baba mwenye nyumba kuanza kuweka...
  11. luangalila

    Bandari ya Kasanga, Ziwa Tanganyika...

    Tanzania na DR Congo wamekubaliana kuanza ujenzi wa bandari upande zote mbili ndani ya ziwa Tanganyika ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya DRC. Hakika hii itapunguza zile fujo za wale mataifa ya kati pale (yanajijua). ==== Tanzania Yazindua Bandari ya Kabwe iliyoko Mkoani Rukwa...
  12. Vedasto Prosper

    Je, bado Zanzibar mmechoka Mgombea Urais kuchaguliwa Dodoma? Na kupokezana Urais wa Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika Je?

    Bendera ya Tanganyika Kabla ya Uchaguzi wa Mwaka 2015, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, kilieleza nia yake ya kutaka kuachiwa mamlaka ya kumchagua mgombea Urais wa Visiwa hivyo, badala ya utaratibu wa sasa unaoshirikisha wenzao wa Tanzania Bara. Pamoja na hatua hiyo, chama hicho pia...
  13. Leslie Mbena

    Asili ya jina Tanganyika

    ASILI YA JINA TANGANYIKA. Leo 20:30pm 15/06/2020 Ni furaha yetu sote kuwa tuliobarikiwa kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Sisi wananchi wengi na raia wa nchi hii tumeishi zaidi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili...
  14. Jaji Mfawidhi

    KLM kushindwa kuja Tanganyika

    KLM just canceled their first flight to Kilimanjaro and Dar Es Salaam on July 4th 2020. Not enough bookings. Pole sana. There is also a negative travel advice from the Netherlands to countries outside Europe. After returning people need to go into quarantine for two weeks of which they don't...
  15. Mohamed Said

    Kama nilivyowaona katika utafiti wa historia ya Tanganyika

    KAMA NILIVYOWAONA KATIKA UTAFITI WA HISTORIA YA TANGANYIKA BARAZA LA MAWAZIRI WA TANGANYIKA 1963 Julius K. Nyerere, 41 years old, President Rashidi Mfaume Kawawa, 34 years old, Vice-President Sheikh Amri Karuta Abedi, 39 years old, Minister of Justice Derek Noel Maclean Bryceson, 40 years...
  16. U

    Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku

    Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo ubaoni. Tangazo liliandikwa hivi: TAHADHARI! USIKUBALI KUNUNUA ARDHI/SHAMBA KATIKA ENEO LILILOKUWA...
  17. malisoka

    Muungano wa nini?

    Wakuu, Kwa ujumla mimi napenda umoja upendo na mshikamano lakini kwa hawa ndugu zetu wa Zanzibar tunawalazimisha kuungana na sisi bara kwa sababu ya visa hivi vya mauaji na kujeruhi watu kwa sababu zisizo na msingi. Sikilizeni hawa wazanzibari ni kama vile mwanamke akitaka kuachika na huyo...
  18. Rev. Kishoka

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
Back
Top Bottom