Tanzanian music artist and Journalist Civilian-Coin Nalimi Kisandu, popularly known as CIVILIAN-COIN, recites his poetry in an "African-English Rap" style. Born and raised in the Kahama District of the Shinyanga Region, where he still resides, he has recently released his new single titled "Home...
Nimejaribu kufanya kautafiti kangu hivi , ni kwamba kaskazini Hususani Arusha na Kilimanjaro ni kama ma tom Boy ni wengi.
Sababu inaweza kuwa nini kwa hii Hali?
Asanteni jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri iliyotukuka kwa kufanikiwa kumtia mbaroni Emmanuel Elisante Mariki kijana aliyefanya ukatiri dhidi ya ubinadamu kwa kufyeka viganja vya mikono yote miwili ya Scola Bernad binti wa miaka 23 mfanyakazi wa kazi za ndani house girl .
Tukio...
Ona wanacho kufanya hawa madj wa Nigeria kutoka vituo mbalimbali vya Radio nchini mwao kwa kuinua Ngoma Home boy ya Mtanzania Civilian-Coin kwa furaha kubwa.
https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=pMeRg7x9mkGaUNww
Kifo cha msanii wa Arbantone, Stoopid Boy, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili nchini Kenya. Taarifa za awali zinaeleza kuwa msanii huyo alifariki kwa kujiua Agosti 27, 2026.
Miezi kadhaa kabla ya kifo chake, Stoopid Boy alikuwa amezungumza hadharani kuhusu depression, matumizi ya pombe na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili .
Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga"
Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never.
Komalia...
jioneeni wenyewe "beach boys" wa USA wanavyofanya mambo makubwa ku-save life vs tanzagiza vijana wote wanapoteza ujana wao wakishinda kwenye boda boda mpaka wanazeeka, boda boda ni lost generation.
huyo dogo aliyeokolewa alikuwa na miaka 10 ...
Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
boyboys
gani
haraka
hatua
kati
kiume
kizazi
kulelewa
kuokoa
kuona
man
men
namna
pekee
utandawazi
vizazi
vizazi vijavyo
wanawake
watoto
watoto wa kiume
wizara
zinahitajika
Police in Buikwe District are investigating the death of a two-year-old child after his body was discovered inside his parents' home in Kiyindi Town Council, leading to the arrest of his father and stepmother.
Police in Buikwe District have arrested a woman in connection with the death of her...
Yaani unaenda kuteka ma houseboy wa viongozi wajinga jinga upinzani kumtisha nani! Usalama badala ya kufanya kazi wanashinda kuvuzia
Mpaka ma house boys. Mama ananufaika na nini hasa?
Mnawasaidia sana wenye kesi za mauaji huko
Colombian pop star Shakira has unveiled the official song for the 2026 FIFA World Cup titled Dai Dai, ahead of the tournament set to take place in the United States, Mexico and Canada.
📸: Shakira, Image Courtesy of BBC
The 49-year-old singer teased the song through a one-minute video shared on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.