kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    TANESCO Kanda ya Ziwa, hususan mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Shinyanga, tunaomba msikilize malalamiko ya wananchi na wateja wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya umeme. Maombi ya kuunganishiwa umeme yamekuwa yakichukua zaidi ya miezi sita bila hatua za msingi kuchukuliwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaanza safari Dar - Musoma, Demand ya ndege kanda ya ziwa ni kubwa sana na zinajaa

    ✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa. Licha ya nauli kuwa juu, uhitaji wa usafiri wa ndege Kanda ya Ziwa umeendelea kuwa mkubwa sana, ukiakisi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Kwema Schools ndio shule bora zaidi za wakati wote ukanda mzima. Je, siri ya Mafanikio ni nini?

    KWEMA SCHOOLS: Mfumo Kamili wa Kujenga Kizazi Bora cha leo na Kesho kwa Manufaa ya Taifa. Katika ulimwengu wa leo, ambapo elimu bora inahitaji kuunganishwa na huduma za kijamii na kiafya, Kwema Schools imejipambanua kama taasisi ya kipekee inayojenga mwanafunzi kwa mtazamo mpana — kitaaluma...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  5. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la RC Chacha Kanda ya Ziwa tumeitisha kikao cha Dharura siku ya Jumamosi

    Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha. Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hili dili litamuacha promota na mamilioni, Miaka 30 ya rose muhando, utapigwa pesa sana hasa Kanda ya ziwa

    Wazee wa big deal, NAIONA hii kama fursa ya kupata mamilioni kibao, kuanda tour na kumzungusha rose muhando kufanya matamasha pesa ipo wakuu amini hilo, hot song kama nibebe, UTAMU nk zinatosha kabisa kukusanya Kijiji, MIKOANI huko, hii ziara itakupa mamilioni ya burebure mkuu trust the process
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania KANDA YA ZIWA NA MAGHARIBI: SERIKALI ITUAMBIE KWANINI BEI NI JUU?

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji. Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana. Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/= Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuna kabila moja kubwa lipo kanda ya ziwa ajabu watu wake wanapenda kufanya mapenzi vichakani!!

    Kuna kabila moja lipo kanda ya ziwa hilo kabila kubwa na maarufu sana watu wake kuwa washamba hili kabila inashangaza sana yaani wanawake au wasichana wake wanapenda sana kufanya mapenzi vichakani na ni malaya aisee hili kabila wanawake au wasichana wake hawakatai hata kidogo aisee nakumbuka...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Tanesco mnafanya nini ofsini Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme Vijana wa welding, saloon, aluminium...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa kwa afisa yeyote wa serikali usipokuwa tajiri basi rudi kwa Dotto Magari mkafanye udalali

    Leo umenigusa sana britanicca uchungu wa hii nchi. Nikaona na mimi nikupe nacho kiona kanda ya ziwa. Kuwa tajiri kanda ya ziwa ni kugusa tena ukiwa kama polisi, idara ya madini, ardhi na wengine ambao wanahusika. Jambo ulilo lisema mpaka watu wanaweka airport zao wakisafirisha ni kwamba pesa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hayati JPM alifanya makusudi sana kuharakisha reli za SGR kanda ya ziwa kabla wahuni walivyomuwahi

    Katika miradi ambayo ingeweza kuishia njiani au kufa na mengine imebaki story. Ni miradi ambayo kanda ya ziwa ambayo jitihada za haraka kama angesubiri ziwe kwa awamu mfano SGR Dar -Dodoma kwanza basi reli kutoka dodoma kwenda Mwanza ingekuwa story.
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

    Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia? Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo. Anajuaje kwamba binadamu usiku haoni? Seran, Shytown.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na sensa ambayo ni makadirio, kuna ukweli Kanda ya ziwa inaweza kuwa ni robo au zaidi ya population ya Tanzania ?

    Ni mikoa ambayo ya kanda ya ziwa birth rate ni kubwa sana, kuna uwezekano ni robo au 1/3 ya population ya Tanzania ? Kagera, Geita Mwanza, Shinyanga, Simiyu Mara
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

    Mwanza umelala mno Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya kutolipwa posho Kanda ya Ziwa, TEMESA yasema Meneja wa Vivuko ameshawajulisha kuhusu hali ya mapato kuwa madogo

    MAJIBU YA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA TEMESA KUTOKA JAMIIFORUMS LALAMIKO Hoja ya Mdau iliyowasilishwa awali ~ Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu. Tumechoshwa na ahadi zisizotekelezeka LALAMIKO “Majukumu tunayopewa hayazingatii mapumziko ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu. Tumechoshwa na ahadi zisizotekelezeka

    YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini. Kwa kipindi cha miezi saba (7) sasa, hatujalipwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaohusika na haki za wanyama ina maana punda wa huku kanda ya ziwa hamuwaoni hususani shinyanga na viunga vyake?

    Waku Kuna Hawa punda wanaosomba mchanga,mawe ama tofari huku kanda ya ziwe kwenye gutama ama tela jina maarufu asee Hawa punda wanateseka sana. Wanapigwa mwanzo mwisho wa safari bila huruma halafu mbaya zaidi hao punda wanakuwa na vidonda shingoni Bado anafanyishwa kazi na anapiga hapohapo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya Nafaka kanda ya Ziwa

    Salam Wana jukwaa. Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake. Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao ziko chini sana Nafaka ninazohitaji ni; 1 Karanga 2 Maharage njano 3 Dengu 4 Kunde, na 5 Njugu...
Back
Top Bottom