Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,580
217,964
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.


=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu ,

timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .

TUNDU LISSU: ACT-WAZALENDO NI CHAMA KINACHOWEZA KUIONDOA CCM MADARAKANI

Mgombea Urais wa Tanzania Bara kupitia CHADEMA akiwa kwenye kampeni Zanzibar amesema Maalim Seif wa ACT-Wazalendo ndio sauti ya wazanzibari kwa miaka 35, hajawahi kubadilisha msimamo wake juu ya kuitetea Zanzibar, kuna kila sababu ya kuungwa mkono kwa msimamo wake

Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani"

#Uchaguzi2020 #JamiiForums #Siasa

Jionee mwenyewe
0

IMG-20200907-WA0036.jpg
IMG-20200907-WA0037.jpg
IMG-20200907-WA0042.jpg
IMG-20200907-WA0043.jpg
IMG-20200907-WA0044.jpg
IMG-20200907-WA0045.jpg
IMG-20200907-WA0046.jpg
IMG-20200907-WA0074.jpg
IMG-20200907-WA0060.jpg
IMG-20200907-WA0061.jpg
IMG-20200907-WA0062.jpg
 
Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Uchaguzi huu ulikuwa mwepesi sana kwa Yesu mtu, tatizo lugha za vitisho anazotumia wakati wa kampeni zinampunguzia credibility ajithamini kwa hilo ingawa bado nafasi ya yeye kuwa rais ni kubwa mno. Ila kwa Zanzibar kazi ipo kwa Hussein Mwinyi.
 
Back
Top Bottom