makurunge

Makurunge
Barabara ya Makurunge inahusisha mradi mkubwa wa ujenzi wa lami wa km 256 unaounganisha Bagamoyo, Saadani, na Pangani mkoani Tanga. Sehemu ya Makurunge (Bagamoyo - Mkange) ni sehemu ya 4 ya mradi huu, huku maeneo mengine yakiwa katika hatua tofauti za ujenzi. Eneo hili ni kivutio kikubwa cha uwekezaji wa viwanja na mashamba.

Taarifa Muhimu na Maendeleo (2025-2026):

Barabara ya Lami:
Mradi unaunganisha Bagamoyo - Makurunge - Saadani - Pangani - Tanga. Ujenzi umegawanywa sehemu nne: Tanga-Pangani (km 50), Daraja la Pangani (km 25.6), Tungamaa - Mkwaja - Mkange (km 95.2), na Mkange - Makurunge (km 75).

Hali ya Ujenzi: Kufikia Februari 2026, sehemu za awali zinaendelea, na usanifu umekamilika kwa sehemu ya Mkange - Makurunge, huku serikali ikitafuta fedha kuanza ujenzi.

Uwekezaji Makurunge: Eneo la Makurunge linatajwa kuwa na viwanja vya makazi na biashara vilivyopimwa. Viwanja vinapatikana kuanzia mita 400 hadi 600 sqm kwa bei ya kuanzia mil 2.4 - 3 TZS.

Kilimo: Kuna mashamba yanayouzwa kwa ajili ya kilimo na ufugaji (ekari 1) kwa takriban shilingi 1.6M - 1.9M TZS.

Eneo: Makurunge iko karibu na Hifadhi ya Taifa ya Saadani, kilomita chache kutoka barabara kuu.
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale “Fursa ya Uwekezaji – Barabara Kuu ya Msata"

    🏡 KIWANJA 3,109 SQM KINAPATIKANA – BARABARA KUU YA MSATA, MAKURUNGE BAGAMOYO Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji eneo kubwa lenye access nzuri ya barabara kuu kwa ajili ya biashara, lodge, hotel, kituo cha huduma au makazi. 📍 Mahali: Makurunge, Bagamoyo – Barabara Kuu ya Msata 📐 Ukubwa...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Mh Dc Magoti sisi watu wa Makurunge tunateseka na usafiri hujawahi kushindwa ,tenda kama tunavyokuamini mzee wa showshow !

    Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu . Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia yako mzee wa show show maana uligusa vibaka wakatii ,ukatamka maji tukaungiwa sasa tamko lako la kupata...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ichunguze uendeshaji wa Shule ya Sekondari Makurung, Kijiji cha Makurunge - Kisarawe

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Makurunge kilichopo Kata ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, kero yangu ni uendeshaji mbaya wa Shule ya Sekondari Makurunge. Shule inaendeshwa kikatili sana kwa wanafunzi na wadau waishio karibu na Shule. Vijana waishio hostel wanalazimishwa kubeba chakula...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kiluvya Makurunge: Barabara zinachongwa bila kujazwa kifusi wala kujenga mitaro. Wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi

    Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji. Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya ahadi ya viongozi kwa muda mrefu kuwa wataweka lami ila wakati tunasabiri ahadi hiyo kwa muda sasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  6. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA yawapa rungu viongozi Makurunge kuwabaini ‘walaghai’ wa huduma

    Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Makurunge Bagamoyo: Vurugu Kati ya Mwekezaji na Wananchi Baada ya Wananchi kuvamia Ardhi ya Mwekezaji

    Hali sio shwari Maeneo ya Makurunge kutokana na vurugu kati ya Mwekezaji Mika Meat na wananchi. Vurugu hizo zimepelekwa baadhi ya wananchi kuumia na wengine kupelekwa hospital. Vurugu hizo zimeanza kama wiki mbili zilizopita baada ya wananchi kuvamia shamba la mwekezaji na kudai kubwa ni eneo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256)

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256) Sehemu ya kwanza Pangani-Tanga (km 50) kwa kiwango cha lami umefikia 75% Sehemu hii ya Tanga - Pangani inagharimiwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100. Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku

    Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo ubaoni. Tangazo liliandikwa hivi: TAHADHARI! USIKUBALI KUNUNUA ARDHI/SHAMBA KATIKA ENEO LILILOKUWA...
Back
Top Bottom