Uchaguzi 2020 Uchaguzi mkuu 2020 na hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

CANCER

Member
Feb 21, 2012
36
20
Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi.

Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano mkubwa ACT wakashida. Hapa ndo penye shida je CCM wako tayari kukabidhi Zanzibar kwa ACT ?
Je, hatma ya Muungano chini ya Seif na ACT utadumu au itakuwa ni rasmi Zanzibar itakuwa dola kamili.

Mimi nafikiri kipimo cha uvumilivu na siasa za Zanzibar zitapimwa hapa. Uwezo na ustahimilivu wa raisi Magufuli utaonekana hapa na umahili wa Kikwete utahitajika sana

Ngoja tusubiri 28 oct 2020
 
Maalimu Seifu Yupo tu...yani tangu mwinyi yupo Form 2 Maalimu anagombea tu
 
Bora Zanzibar iwe Dola kamili. Wamebanwa sana kwenye hicho kinachoitwa muungano. Hata haieleweki ni nchi au mkoa.
 
Maalim amezungukwa na watumishi wa 'dola' ndani ya ACT, actually kwa sasa ni salama zaidi kumkabidhi Zanzibar kuliko alivyokua CUF.
 
Huu muungano wa sasa umeshikiliwa na kipengele kimoja tu.. Mahusiano ya kisiasa..nje ya hapo kila nchi imejitosheleza kwa vigezo vya kuwa Taifa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom