Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Zanzibar, Khadija Nassoro Abdi, amewataka vijana na wananchi kwa ujumla kuwa makini na kile alichodai kuwa ni jitihada za baadhi ya watu na vyama kutumia hoja za Katiba pamoja na madai ya ubaguzi kati ya wananchi wa...
Sijui Mwalimu Nyerere alikuwa akilenga nini hadi kufikia hatua ya kuruhusu watu kutoka Zanzibar kuwa na nafasi ya kuongoza Tanganyika, wakati Wabara hawana nafasi hiyo ya kuongoza Zanzibar. Hali hii inaibua maswali mengi kuhusu usawa na haki kati ya pande hizi mbili.
Watanganyika tunapaswa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema, kati ya jambo ambalo halipaswi kuchezewa ni Muungano ambao unatakiwa kulindwa na kila mmoja maana ndio alama kubwa ya Tanzania.
Waziri Masauni ameyasema hayo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani...
Kwa jinsi dalili zinavyoonesha na mengine yanayo fanywa.
Nimekumbuka muungano wa Afrika mashariki ulivyovunjika na kujikuta vitu vyote vilikwenda kenya.
Kwa ili linavyoendelea kiufupi yaliyofanywa na mkija kumshataki itakuwa ni nchi nyengine na raia mwengine sio wa nchi ya muungano.
Pia soma...
Tulikofikia Wazanzibar wataanza kutuchukulia poa sana hasa hasa kipindi cha Rais wa kutoka kule
Kuna speech ya Nyerere inatembea sana mitandaoni yenye maudhui kwamba yeye (Nyerere) ndiye aliyekataa muungano wa serikali moja kwa kuhofia kuonekana anataka kuimeza (kuitawala) Zanzibr
Kwa jinsi...
Watanganyika tunajengewa kitu ambacho hatukuwa nacho!
Kinajengwa na matamshi ya wazi ya wazanzibari!
Sikiliza watanganyika wameanza kujitambua
Pia soma
Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari
Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye...
Kihistoria, ustaarabu wa mapema zaidi katika eneo la Tanzania ulianza zaidi pwani, hasa Zanzibar na miji ya pwani ya Bahari ya Hindi.
Zanzibar
Zanzibar ilikuwa sehemu ya:
Ustaarabu wa Waswahili (Swahili Civilization)
Biashara ya kimataifa (Waarabu, Waajemi, Wahindi, Wazungu)
Miji ya mawe (Stone...
Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali.
Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
Inaumiza sana mtu kama Mdude, Soka, Kipanya, Lissu na wengine mmewafanyia ubaya kisa kulinda maslahi ya CCM ila walioanzisha mbegu ya ubaguzi wale Wazanzibari mmewaacha
Ndio maana mmepoteza kuaminika kwenu na watanzania.
Pia soma
Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili...
Moja ya mambo utu uzima hutufunza ni kuwa hakuna wa muhimu sana kwenye haya maisha. Huu ndio ukweli unaotufanya tukishakuwa watu wazima, kutokulazimisha mahusiano tena.
Binafsi ni muumini wa muungano. Sio tu wa Tanzania bara na Zanzibar, bali wa jumuiya ya Afrika Mashariki nzima. Hakuna faida...
Hamjambo wote!
Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu.
Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?
Maana GenZ wanasema hawaoni umuhimu wa Zanzibar. Ila wakiambiwa historia halisi wanaweza kuuona umuhimu wa Muungano.
Tatu...
Kila mara Rais anapotoka Zanzibar, sauti za kuhoji Muungano huongezeka. Ghafla tunasikia madai ya Tanganyika, malalamiko ya mgawanyo wa madaraka, na mijadala mikali kuhusu muundo wa dola.
Lakini cha kushangaza ni hiki: Rais anapotoka Tanzania Bara, madai hayo hayo hupotea kana kwamba hayajawahi...
LAZIMA tupinge ubaguzi huu lakini tukiwa tumeshikilia kete kuu ya 29 October
Kitendo Cha viongozi kunyamazia kauli ya kwanza ya Ubaguzi WA wazi kuhusu ajira ni ishara kwamba hiyo kete ilitupwa kiustadi waangalie kama mtahama October 29.
Walipoona hiyo kete ya Ubaguzi imeibua hisia za...
Hamjambo!
Huwezi kataa nature.
Zipo jamii zenye watu warefu, wapo wafupi, wapo mchanganyiko yaani warefu, wakawaida na wafupi.
Zipo jamii zenye watu wenye ngozi nyeupe, nyeusi na njano na kahawia.
Zipo jamii zenye watu wenye akili na upeo mkubwa kuliko jamii nyingine.
Najua kuna watu...
Ningeteneza uwanja Mzuri wa kimataifa wa ndege kuliko wa pale DXB.
Ningeteneza pia recreational center kama theme parks, hoteli zinazoelea kwenye maji pamoja na Hotel zenye hadhi ya kimataifa kama Hyatt regency au Kama zile za Trump towers
ningeifanya Unguja na Pemba kuwa destination ya Sex...
Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo...
Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote?
Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu?
Kama zimetatuliwa zote hongera kwa serikali. Asanteni
Ukweli kwamba mitaala ya elimu sio sehemu ya mambo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unayo madhara makubwa sana kwa Watanganyika pale kunapokuwepo na viongozi wa siasa ambao ni Wazanzibari.
Mitaala ya elimu ya Zanzibar haisemi kitu kuhusu tofauti kati ya dola ambayo ni jamhuri ya kiliberali...
Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa
Kulikoni tena ndugu zetu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.