madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani. Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Madaraka: kuna tofauti kati ya taifa na serikali!

    Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

    Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yake

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Nimeona watu wanajadili kuhusu mfumo wa majimbo na kusema ukija makabila makubwa yanaweza kuhodhi madaraka na hivyo makabila madogo yakawa hayana uwezo wakutoa viongozi wakubwa. Mfumo wa majimbo wa marekani naupenda kwa sababu hata yale majimbo madogo bado yana nguvu kwenye kuamua raisi ukitoa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi - Katavi anatumia madaraka vibaya, anabagua watu

    Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha shida zao, hasa zinazohusu migogoro. Kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara pembezoni mwa barabara...
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Shida ya mtu kuwa na madaraka makubwa kama malkia

    Wateule wanakuwa na hofu,unafiki muda wote ike this bastard
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania hakuna familia yenye tamaa ya mali na uroho wa madaraka kama ya Kikwete.

    Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi. Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa Chipukizi ndani ya chama. Bakresa amefanikiwa kwenye mali na biashara lkn huwezi kumsikia kwenye...
  11. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda..

    Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Dini Katika Mgawanyo wa Madaraka

    https://youtu.be/Q_j7NyVC3YY?si=-X0zBb0EkA17D6K0
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania MADARAKA YA KULEVYA: Umwagaji Damu, Utekaji, na Siku za Mwisho za Udikteta

    Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia, Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa. Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba; linaendeshwa kwa hofu, vitisho, na ukatili unaotokana na ugonjwa hatari unaoitwa "Madaraka ya...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu atatoka kweli kwa hali ya kawaida?!

    Inatamausha mno kwa namna hali ilivyo. Inafikirisha vilevile kushuhudia hayo yawayo Hofu yangu, huyu ndugu ataondoka kweli kwa utaratibu uliozoeleka? Binafsi sioni akiondoka ki kawaida. Pengine namkosea Mungu, lakini ni muhimu kujiandaa kwa lolote Dalili zi wazi, huyu ndugu atataka kuongoza...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

    Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe.. Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
  16. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watu Wazuri Wanaendelea Kutushauri wa-Tanzania Juu ya Mkwamo Ulioko Nchini

  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema; "...kama...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Samia na Kikwete Madaraka kwao ni bora kuliko taifa

    Kama haukubaliani na mimi tueleze kwanini viongozi hawa wanaiba kura?
Back
Top Bottom