care

  1. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Athlete Heart Care Unit Launched

    Uganda has taken a step toward strengthening athlete health and preparedness ahead of the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), with the launch of a specialised Sports Cardiology Unit at the Uganda Heart Institute. The new unit, located within the institute’s outpatient diagnostic wing, is...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 147 Days Bila Care: Marsabit Health Crisis Inaua Kimya Kimya

    Marsabit iko kwa crisis mbaya sana. For 147 days sasa, hospitals zimekuwa paralyzed kutokana na strike ya clinical officers na sasa hii si labour issue tena, ni full humanitarian disaster. Huduma za afya zimeanguka vibaya. Patients wanalazimika kusafiri long distances kutafuta treatment ama...
  4. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Brela namba mlizoziweka ni urembo? Ampokei simu kabisa kwanini lakini?

    Haya mawasiliano yamewekwa brela ni urembo au, Aisee hawajamaa hawaja wahi kupokea simu. Yani kama uko shamba inabidi ufunge safari tu kufika ofisini.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Why should we care about accessibility and ableism?

    Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics Canada’s 2022 Canadian Survey on Disability found that 27 per cent of Canadians aged 15...
  7. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi pekee ninaepata changamoto na customer care ya CRDB bank?

    Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police. Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
  8. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Take care, Vitoto vya 2000 vimeanza kulazimisha ndoa

    1. Ni singo maza ... 2. Kitoto kimezaliwa Dec/2000 kinataka ndoa ...!!! Uzi tayari. #YNWA #YANGA_BINGWA
  9. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Hizi graduation za day care na nursery zimeanzia wapi?

    I salute you kinsmen Wakuu Kuna jambo huwa linanishangaza sana Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi. Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule Kumbe wameweka graduation party wazazi wamealikwa jioni hiyo Yaani kiufupi ni graduation ya watoto kumaliza day care! Hapo...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

    "Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua...
  11. R

    JamiiForums Tanzania They do not care at all

    Baraza la wapi? Lifanye nini? Limfanyie nani?
  12. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

    Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa. Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba. Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi. Kuna...
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mama Gwajima, sunday schools na day care zimekuwa nyingi, nakushauri unda task force za kuwatembelea kwa kushtukiza kuangalia mienendo yao.

    Dkt. Gwajima D Watoto wadogo ni rahisi kupelekeshwa kwa namna isio sahihi. Ingawa usalama wa watoto hawa unakuwa jukumu la wamiliki pale watoto wanapokuwa shule ila tunahikkishaje kama wanazuzingatia kisahihi? Amid kuwepo na ripoti za wafanyakazi wa hizo day care na wapita njia kuwarubuni...
  14. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Spiritual laws you must respect they don't care if you believe them or not

    LAW OF RECIPROCITY - what you send out energy, thoughts and actions returns amplified. LAW OF AUTHORITY - spirits only respect those who knows they are. if you're confused they dominate. LAW OF RESONANCE - you attract what matches your vibration, purity =clear outcomes. LAW OF TIMING -...
  15. L

    JamiiForums Tanzania NBAA Ina changamoto ya customer care - badilikeni

    Habarini ya Muda huu, Hii Bodi yetu Pendwa ya wahasibu na wakaguzi wa ndani ya TANZANIA (NBAA) Wana changamoto ya Customer Care. Ukiwapigia simu yao ya Landline hawapokei na hata ukiwatumia E-Mail kwa email address yao ya info@nbaa.go.tz hawazijibu. Kwa sasa nipo Mpanda - Katavi nimeshatuma...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

    Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa. Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua...
  17. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Customer care wa halotel ni wabovu?

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia mtandao wa Halotel lakini kila ninapohitaji msaada kupitia customer care napata usumbufu mkubwa. Ukipiga simu, unaweza usijibiwe kabisa au ukasubiri hata dakika 10 bila msaada wowote. Ukiandika kupitia mitandao yao ya kijamii wanajibu kwa kuchelewa au kwa ujumbe...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi take care, hawa siyo watu, take care. Usidharau message za vitisho wanazokutumia, take them seriously!

    Hawa sio watu, Mwabukusi take care! Kama wamemfanyia haya Mdude, take care!
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 11 New Job Openings at Platinum Medical Care – May 2025

    New Vacancies at Platinum Medical Care – May 2025 Platinum Medical Care is seeking to hire professional and dedicated individuals for various positions. Join our team and contribute to providing the best services in patient care. We are currently looking to fill the following vacancies...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba shughilika na hawa lazy customer care service

    Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
Back
Top Bottom