Kizazi cha wenye kuijua vyema Tanganyika kinakwisha

Makala josee

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
220
250
Ni wazi wazee na waasisi wa Tanganyika wanapukutika
TANGANYIKA ilipokea uhuru wake kutoka kwa mkoloni wa kiingereza hata hivyo uhuru huu haukuwa ni ule wa kushika mtutu pamoja nakuwa nyuma kidogo wakati wa kuingia mjerumani kulipiganwa vita kati ya wazee wetu na wamisionari waliokuja na lemba la kutaka kutustaarabisha
Kwa uchache nitaje watu kama songea mmbano, Kinjekitile ngwale, chief Milambo, Abushiri na Bwana Heri n. K

Baada ya kupokea uhuru nyerere alibahatika kukutana na cleam ya wasomi ambao wengi wao walikuwa na vipawa hasa hadi alipokuja kukabidhi kijiti kwa mzee wa Ruksa

Cleam hii ya wasomi inaelekea kuisha kabisa na kwa maono yangu Ndio cleam iliyobarikiwa kuifahamu Tanganyika vyema kuliko Kizazi chochote kutokea hapa Tanganyika, ungeliwahi kubahatika kama mimi au wengine waliowahi kuketi na hawa mabwana ungeburudika, Sasa kwa masikitiko makubwa wengi nimeshuhudia ardhi inawachukua makini japo wamebaki wachache na sijui kama tutawahi kuwatumia maskini katika zama hizi ambazo vijana wamejivika ujuvi wasiokuwa nao bahati mbaya nyingine wazee hawa nao si watu wa media

Kwa mwaka huu tu waliondoka ni Benjamin Mkapa, Apson Mwang'onda, Balozi Lusinde wa dodoma (huyu ungemuuliza nini kuhusu Tanganyika asikupashe), Mzee Mark Bomani, Musa Kwikima wawili hawa waliwahi kufanya kazi pamoja huko nyuma kuliondoka mtu kama Sir goerge kahama

Walau wamebaki watu kama kina Edwin Mtei, Cleopa msuya, Balozi Tambwe, Boss Jenguo, Butiku, samwel malechela, Pius Msekwa, n. K

Rai yangu kwa wanahistoria wa Sasa tembeeni kupata dondoo kwa wazee hawa na muache kujivika ujuvi mkajachelewa kumekucha hiki ndicho Kizazi cha dhahabu cha Tanganyika kilichoasisi Taifa hili wengine mkiwa watoto na wengine mkiwa migongoni mwa baba zenu hamtaraji kuzaliwa
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,333
2,000

Nimeacha kusoma baada ya kukuta neno cleam limerudiwa zaidi ya mara mbili

Nafikiri ulitaka kumaanisha " cream "
 
orturoo

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
1,638

Big up
 
Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
304
250
Historia zote zihuzo Tanganyika,Zanzibar,Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,msisitizo uanzishwe ili history zote zifundishwe mashuleni kwa kuvijenga vizazi vyote vya Tanzania kuwa ktk uelewa wa pamoja kusiana na Tanzania
 
Maili tatu

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
422
1,000
Babu yangu na mzee mohamedi saidi wa jf wamenisaidia kwa kiwango chao kufahamu tulipotoka japo kwa uchache
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom