ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Ghasia za Oktoba Zilipangwa, Z

    Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi Oktoba 29: Ripoti Huru

    AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Jaji Chande: Chanzo cha Vurugu na Uchoche

    Jaji Chande VICHECHEZO 🚨Wanasiasa na wanaharakati walikuwa chanzo cha vurugu - vichochea mahsusi vilitumika na wanaharakati kufanya vurugu 🚨 Mitandao ya kijamii ilitumika kuchochea vurugu- content creators walichochea kutofanyika kwa uchaguzi 🚨Wanaharakati walitumia majukwaa kufanya vurugu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbona ripoti ya Hon Chande inapongozwa kabla haijatoka? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake Hii nchi kuna sehemu imefika kila kitu n kisifia na haya hayaji hvhv laZma kuna WATU wapo nyuma...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mkiwaona CDF, IGP na DGIS, kwenye utoajii wa hiyo ripoti ya Chande, mjue hakuna uwajibikaji

    Binafsi naamini teyari kuna watu wanajua kilichopo kwenye hiyo ripoti ya Jaji Chande wakiwemo watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Oktoba 29. Kwahiyo, kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari cha huu uzi, mkiwaona hao niliowataja wamehudhuria hilo tukio la utoaji wa hiyo ripoti, mjue tu watu hao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  7. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pamoja na kuwa na uwezekano wa watu Kutolewa Kafara, Naikataa Ripoti ya Chande

    Na.M M Mwanakijiji Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana. Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake. Ni hilo.
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nini utabiri wako kwenye Ripoti ya Chande? Ni kweli italeta matumaini kwa Watanganyika au mpasuko au ambao haujawahi kutokea?

    Wakuu, Mzigo unaangushwa kesho mezani, tujue nini hasa tume ya Chande imekikusanya kutokana na hadidu rejea walipewa. Toka wiki iliyopita tunaona video baada ya video za mahojiano na watu mbalimbali ikiwemo Sheikh Mkuu, Jaji Mkuu Mstaafu, watanzania baadhi, na leo watu wa media wakisema "wana...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 14 zapinga ripoti za Tume za Rais kuhusu Ngorongoro, Loliondo

    Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, zikisema tume hizo...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tunapakwa mafuta kutayarishwa kupokea ripoti ya Chande, kila mtu anaisemea mazuri - mshayajua matokeo!

    Wakuu, Mmeona tunavyoandaliwa kisaikolojia kuipokea ripoti ya tume ya Chande? Chawa washalipwa kuja kuisema mazuri - 'ripoti ya chande itakuja kuliponya taifa' - we ulikuwepooo? Wameanza na viongozi wa dini, chawa chawa wapuuzi, eti wanamtumia hadi jaji kuja kueleza upuuzi wao! Tutaendelea...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Vijana huru wa Tanzania watoa msimamo kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza Oktoba 29 hadi 31, 2025

    Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo yaliambatana na upotevu wa maisha, majeruhi, uharibifu wa mali na miundombinu, pamoja na kutoweka kwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande nahisi haitatoka!

    Msipoteze muda kusubiri ripoti ya mchongo ya tume ya Chade haitatoka maana wameshidwa kudanganya wakati ukweli upo wazi!
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya Mafuta na Ripoti ya Chande. Fungua macho Mtanganyika!

    Aweeee, Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa! Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

  18. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

    Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi watanda, Tume ya Jaji Chande ikikamilisha ripoti yake

    Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani. Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
Back
Top Bottom