kuku

 1. B

  Wapi nitapata soko la kuku wa kienyeji?

  Habari wakuu ninapenda kufahamishwa kuwa ni sehemu gani hapa Dar nitapata soko zuri la kuuza kuku wa kienyeji kwa jumla? Sehemu ambapo bei ni rafiki. Nina kama kuku 50 hivi mchanganyiko majokoo na mitetea.
 2. K

  Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
 3. Sijuti

  Kuku wa jirani kaingia jikoni kwangu na mlango umejifunga

  Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini? Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.
 4. Zillionaire_tz

  Nauza kuku wa mayai (layers)

  Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi. LOCATION: DODOMA
 5. GENTAMYCINE

  Ukiona Mkeo / Demu wako anapenda sana Kupanda Pikipiki ( BodaBoda ) jua imekula Kwako na UKIMWI hauko mbali Kukufikia

  Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane. Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa...
 6. N

  Mikate ya maji iliyochanganywa na kuku

  Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu. Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi. Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua. Viamba...
 7. Elius W Ndabila

  Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

  Na Elius Ndabila 0768239284 Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
 8. alphonce.NET

  Vifaranga wa kuku chotara wa kuloiler

  Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks Tupo Busweru, Mwanza tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk Bei za vifaranga: Umri wa...
 9. Mwamba1961

  Msaada jinsiya kufuga "kanga"

  Habari zenu, Naombeni msaada ,Ni njia gani za kufanya ili niweze kufuga KANGA kwenye banda la kuku ?? Na nitarajie changamoto gani na ninazikabili vipi ?? Wadau karibuni kwa majibu.....
Top