KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,603
RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka.
Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika. Je, hakuwa anajua?
Baada ya Rais kulisema suala hilo na huku uchunguzi bado unaendelea na ripoti haijatoka na kaanza kuchukua hatua. Je, sio kuingilia uchunguzi unaopendelea?
Kwamba ,ikibainika na Yeye ni Moja ya wanufaika wa mtandao huo wa kuchepusha pesa za mapato ya Serikali Kwa sababu ameanza kuchukua hatua, Yeye ataachwa tu?
Kwa nini sasa RC achukue hatua wakati uchunguzi unaendelea ?
Sioni haja wala sababu ya RC kuchukua hatua kwa waliohusika Sasa, huko ni kutaka kukwamisha uchunguzi ,asubiri ripoti itoke akiwa safi aendelee na anachofanya.
Ombi Kwa Mhe.Rais na mamlaka za uchunguzi ,zuieni kinachofanywa na RC ikiwa uchunguzi unaendelea na ripoti ya uchunguzi bado haijatoka, kinachofanywa na RC kinaweza kukwamisha au kuzorotesha uchunguzi