waheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliopo Dodoma wanastahili kuitwa waheshimiwa Bado?

    Wachangiaji wote waliochangia bajeti ya mambo ya nje Kila mtu alimsifia Samia Nape Samia Bulaya Samia Kingu Samia Samia Samia Samia Wao wanafanya kazi Gani Sasa kama Kila kitu anafanya Samia? Kwani huwezi ongea bila kutaja jina la raisi? Kwann waitwe waheshimiwa Hawa ?
  2. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

    Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, bunge likishavunjwa, waheshimiwa mawaziri wanaendelea kusimamia wizara wanazoongoza?

    Imekuwa kawaida kuwa Bunge likishavunjwa Waheshimiwa Mawaziri wanakuwa ni wananchi wa kawaida mpaka hapo Serikali mpya itakapoundwa tena. Serikali mpya inapoundwa basi Mhe. Rais anateua tena Mawaziri wake katika Baraza lake. Bunge likiishavunjwa wanaosimamia Mawizara mpaka Serikali mpya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea katika kipindi ambacho waheshimiwa watazomewa watakapokuwa wamekufa kutokana na yale waliotufanyia wakiwa hai

    Nakumbuka msiba wa baba wa Taifa ndiyo ulikuwa msiba wa kwanza kuleta huzuni kwa Taifa la Tanzania,msiba wa pili ni wa Rais wetu kipendwa Magufuri,naamini pazia la huzuni ya kweli lilifungwa kwa wale wanaojiita waheshimiwa,kama hawatabadilika basi wasubirie zomeazomea kutoka kwa watanzania na...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea UWT Singida agalagala na kuambulia kura 12 kwa wajumbe

  7. A

    JamiiForums Tanzania Muda wa waheshimiwa Kuna mahindi, kupanda public service vehicles, kununua bidhaa magengeni na mama ntilie

    Wapiga kura tuchague viongozi watakaotutumikia kwa kuweka fursa za kutuwezesha sio sanaa na maigizo wakati wakiwa kwenye viyoyozi hawafanyi hivo,kura Yako ni ya thamani kwa MAENDELEO yako 2025 tukatae hadaaa ya namna yeyote Uzembe wako na tamaa Yako ndio maumivu Yako,usipokee rushwa kwa hadaa...
  8. Soul21

    JamiiForums Tanzania Single Mother Waheshimiwa. Tyler Perry kasema nusu ya changamoto zao

    Huhitaji utajiri Wa pesa kuelewa maisha ya mwingine Bali upendo ndio daraja pekee la kuokoa maisha ya mwezako anayepitia nyakati Ngumu. Nimetazama filamu ya Straw kutoka Tyler Perry nimeona picha ya ndani wanayopitia single mothers tuache kuwakebehi kwa lolote hasa pale ambapo huwezi kumpa...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa kwenye kupanga mikakati ya ushindi kwenye majimbo waliyotia nia

    Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia. Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine. Mambo ni mengi muda...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Unajifunza Nini kutoka Kwenye Picha Hii Ya Waheshimiwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe. Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania. Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii? Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph...
  11. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Kumbe viongozi wanamuogopa Mungu

    Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi. Waheshimiwa wanaogopa kukutana na Mungu siku wakifa hii pia ni sifa ya mnyama Waheshimiwa wanamtukuza joel lwaga na moni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tunaowaita waheshimiwa nchini, tunawaita hivyo kwa kulazimishwa au kwa sababu wanafanya mambo yanayostahili waitwe hivyo?

    Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una thamani, hasa kwa jinsi anavyoshughulika kuhusu watu wengine, kutia ndani matendo na kauli zake. Kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani wanastahili kuitwa "Waheshimiwa"?

    Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande! Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Napata hisia tayari simu imeshapigwa kwa Waheshimiwa maJaji

    Heshima sana wanajamvi. Rostam Aziz majuzi alitufungua kwamba Mahakimu,Majaji wetu unaweza kuwapigia simu wakatoa uhamuzi usio wa haki. Ni kweli Rostam aliomba msamahaa lakini pamoja na kuomba msamaha hakuondoi hali halisi kwamba mahakama zetu zimekuwa zikitoa uamuzi wa hovyo hovyo. Wakati...
  16. Decency13

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara yangu inapata Mauzo hafifu

    Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini? Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hata hili za saini lako waheshimiwa wabunge hamkuliona?

    Mkataba wa Mbarawa umebainika kuwepo dosari kubwa za saini kwa pande zote mbili Tanzania na Dubai. Swali je waheshimiwa wabunge hili nalo hamkufanikiwa kuliona?
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mkataba huu utamomonyoa 'sovereignty' ya Tanzania

    Usuli Mheshimiwa Rais Samia, Tanzania kama Taifa huru linayo haki ya kutowajibika kwa Taifa jingine lolote duniani, na haki hii ndiyo inaitwa "sovereignty" kwa Kiingereza. Hivyo, katika maneno 700 pekee, najadili Mapatano kati ya Serikali za Tanzania na Dubai kwa kugusia yafuatayo: utangulizi...
  19. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Sijui kama waheshimiwa wetu wanapitia hii changamoto

    Kumekucha tena wanajukwaa la JF, Msakatoke mwenzenu nimejaliwa siku mpya tena pamoja na familia yangu. Ntakua mchoyo wa shukrani bila kusema: Asante Muumba kwa siha njema na faragha. Amma baadu, bada ya utangulizi na shukrani. Siku ni mpya. Nmeamka na maumivu ya deni la mangi shop. Watoto...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

    Dar Es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha haya ndiyo majiji yetu pendwa hapa nchini na kuna (Dodoma) na (Tanga) haya huwa kama siyaelewi hivi. Dar Es Salaam kuna Magufuli Bus Terminal, Mwanza kuna kituo Matata sana soon kinafunguliwa, Mbeya pia kipo kizuri hata hayo majiji mawili nayo as dodoma...
Back
Top Bottom