• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

arv

 1. Kirchhoff

  Tunaotumia ARV hatutapata Covid-19?

  Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana.. Nje ya Mada: Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani Corona waje fasta ili walotunyanyapaa na kujidai hawafanyi ngono zembe wapate Covid-19?
 2. Influenza

  Tabora: Mfamasia kizimbani kwa kuiba dawa za kufubaza UKIMWI (ARV)

  Mfamasia wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, Francis Mlesa (33), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo kwa tuhuma za wizi wa dawa za wagonjwa Mwendesha Mashtaka, Joseph Mwambwalu, alidai kuwa mshtakiwa huyo anakabiliwa na shtaka moja la wizi. Mbele...
 3. Analogia Malenga

  Amuua mpenziwe baada kumfuma akinywa ARV kwa kificho

  Mwanamke mmoja katika wilaya ya Hoima mashariki mwa Uganda anashikiliwa kwa madai ya kumuua mpenzi wake baada ya kumfuma akimeza dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV) Polisi wamesema siku ya Alhamisi kuwa Emmanuel Tumusiime, 35 alishambuliwa mpaka kuuawa katika makazi yake akiwa...
 4. Kaka Pekee

  Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

  Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
Top