luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Serikali ijiondoe kwenye mambo ya kuunda Tume ya Uchunguzi kwani Mtawala aliyopo madarakani anahusika na Vurugu za 2025

    Luhaga Mpina atema Cheche tena DW Radio . Akosoa Samia kuunda tume. Amesema ana masha nayo. Akosoa Tume kuelekezwa cha kufanya. Mfani; Kachunguze nani katoa hela. Kakosoa Hahdidu za Rejea Hadidu za rejea ndio huleta maana. Haziwezi kuwa siri kwani mambo kama haya yanatakiwq yawe wazi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? Kwanini ukihoji Serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi?

    Naibu Waziri Mkuu katika Baraza Kivuli la Mawaziri la Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amehoji kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? kwanini ukihoji serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi? Wakati akiongea na waandishi wa habari August 9 Mpina amesema kuwa, "Sasa huku nchi nzima...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heche, Mpina na wengine wanatumika kuichafua Serikali ionekane haifanyi kazi?

    - Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine - Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu - Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: ACT Wazalendo tunaenda mahakamani kupinga Sheria ya Fedha 2026

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

    Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amelituhumu Bunge na Spika kwa kupitisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 na bajeti ya Tsh. Trilioni 62.33 bila kufanya mabadiliko yoyote, licha ya uwepo wa malalamiko makubwa kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma. Soma: Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina na Wakili Peter Madeleka wanazungumza, wasema muswada wa kodi unalenga kuwaumiza maskini (Juni 30, 2026)

    https://www.youtube.com/live/KcGPeihnF1c
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina amedanganya watanzania kuhusu mgogoro wa mafuta

    NIMEMSIKILIZA mtu anayejiita sijui waziri mkuu kivuli.. (vyeo vya kusadikika) ambaye ACT Wazalendo walitaka awe mgombea wao wa urais lakini sijamuelewa kwenye mambo mengi sana SITAKI kuongelea ujinga wake anaoongea kwenye mambo ya mafuta kwa sababu ni mtu mjinga tu anaweza kupoteza muda...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kwanini Mabasi ya Mwendokasi yanaondolewa kodi wakati Mabasi ya Masafa marefu hayana msamaha?

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27. Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Taarifa ya Luhaga Mpina kuhusu Tume ya Chande ya Kuchunguza yaliyotokea 29.10.2025

    BURIANI MASHUJAA WETU YANA MWISHO HAYA Bonyeza HAPA kupakua Hotuba yake Hapa Chini nimeweka Video ni Mapendekezo yake.. MAONI NA MAPENDEKEZO KWA UFUPI Baada ya kufanya uchambuzi hapo juu ninatoa Maoni na mapendekezo kama ifuatavyo:- (i) Kuundwa Tume Huru chini ya Umoja wa M ataifa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina hana njaa kama akina Msigwa na wenzake ambao wapo kwenye siasa kwa ajili ya matumbo yao. Na na hoja za msingi

    Hana njaa na wala hana shida ta uongozi. Ana msimamo juu ya suala analolisimamia. Dk Nchimbi alimsihi sana arudi CCM lakini akakataa. Ameongea mambo ya msingi sana ambayo ni muhimu kwa mustakabari wa taifa letu. Utekaji, kuminya demokrasia na kupendelea familia za WanaCCM ni tatizo kubwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Luhaga Mpina: Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ufutwe, Wananchi wachague viongozi wanaowataka

    "Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 ufutwe na kutangazwa uchaguzi mpya ili kuwapa nafasi wananchi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya Rais, wa bunge na madiwani ili kurejesha umoja na mshikamano, amani na utulivu nchini. Hauwezi ukasema kwamba tunaweza tukauendelea bila kufuta...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpina: Napinga Rais kuunda Tume Mpya ni Ujanja wa kukwepa ICC na Mahakama za Kitaifa

    Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameyasema hayo Leo, 1, June 2026 alipokuwa akiongea na vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo Maandamano ya Oktoba 29 2025, Ufisadi pamoja na Usimamizi Mbovu wa Rasilimali za Umma; "Napinga kuanzishwa kwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu Kivuli

    Kwa hatua inayotajwa kuimarisha kambi ya upinzani nchini, kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, ametangaza baraza jipya la mawaziri kivuli na kumteua Luhaga Mpina kuwa Naibu Waziri Mkuu Kivuli pamoja na Waziri wa Nishati na Madini. Uzinduzi wa baraza hilo umefanyika leo Mei 18, 2026 katika...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 FULL TEXT: Hotuba ya Luhaga Mpina kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 29 Oktoba 2025

    Salaam Wakuu, Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu. Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa kuweka kumbukumbu sawa kwa Vizazi vijavyo kwa Matumizi ya Shule na kuwajengea watu wa Dunia ufahamu na...
Back
Top Bottom