kingono

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. SemperFI

  Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

  Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
 2. NetMaster

  TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

  Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
 3. comte

  Haijalishi mahusiano yoyote ya kingono zaidi ya kwenye ndoa ni chukizo kwa Mungu-huponi kwa mjibu wa mambo ya walawi 18:1-30

  Mambo ya Walawi - Leviticus 18 1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. 3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika...
 4. SemperFI

  Mwigizaji wa Squid Game ashtakiwa kwa ukatili wa kingono

  O Yeong-su mwenye miaa 78 ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe ameshtakiwa kwa kumshika maungoni bila ridhaa mwanamke ambaye jina lake haljatajwa. Yeong-su amekanusha kumshika kinyume cha maadili mwanamke huyo mwaka 2017 na kudai alimshika mkono mara moja alipokuwa akimwongoza njia...
 5. SemperFI

  Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

  Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto. Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
 6. SemperFI

  Zambia kuchunguza madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye timu ya taifa ya wanawake

  Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi. Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika...
 7. JanguKamaJangu

  FIFA yamfungia Afisa wa soka Zimbabwe kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike

  Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
 8. Jesusie

  KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

  SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
 9. SemperFI

  Beki wa Man City akana mashtaka 7 ya ubakaji na udhalishaji kingono

  Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka. Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
 10. Lady Whistledown

  Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

  Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
 11. M

  Vijana wengi wa DSM walishaharibi niwa kingono. Utakuta mtu anafamilia lakini anayo siri moyoni. Hii ni sababu ya kuendekeza tabia, mila na uovu.

  Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu. 👇
 12. JanguKamaJangu

  Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

  Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
 13. Lady Whistledown

  Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

  Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha. - Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
 14. JanguKamaJangu

  Waandishi wanaume wananyanyasika kingono lakini hawasemi

  Unyanyasaji wa kingono katika vyombo vya habari umekuwa ukitajwa kutokea mara kadhaa, mara nyingi waathirika wamekuwa wakiathirika kisaikolojia na wakati mwingine kuwafanya kuwa na msongo wa mawazo, mpaka wengine kuamua kuhamia katika taaluma nyingine. Takwimu za Chama cha Magazeti na...
 15. JanguKamaJangu

  Muandaaji wa Miss Rwanda akamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

  Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono. Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022. Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...
 16. Mia saba

  Utamjuaje Mwanamke au msichana mwenye tego (usinga) au maagano mabaya ya kingono?

  Tunakutana na watu wengi, tunatamani kujiusisha nao kingono. Mara kadhaa tunasikia mtu na mtu wamenasana au baada ya kula mzigo sehemu alifariki au kawa kichaa na kadhalika. Maana kiuhalisia kunawengine walifungwa maagano wakiwa wadogo ata wao hawajijui Ila ukiingia tu imekula kwako. Je...
 17. John Haramba

  SIKU YA WANAWAKE: Wapaza sauti, uongozi, ukatili kingono kwa wanawake

  Wakati wanawake wakiadhimisha siku yao leo, wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani, huku wakitaka wanawake zaidi kuongoza katika sekta mbalimbali nchini. Baadhi ya wadau hao ni Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini...
 18. IslamTZ

  Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

  Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
 19. IslamTZ

  Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

  Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
 20. Frumence M Kyauke

  Mada maalumu kwa wahanga wa unyanyasaji wa kingono

  Swali Je kwanini idadi ya kesi za kulawitiana inaongezeka? Nini sababu inayowapelekea watu kulawitiana?
Top Bottom