Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!.
Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya.
Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.
Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!
Hayo makofi...
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti.
Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153.
Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman, ilikuwa na wajumbe wanane ambao ni: Dkt. Stergomena...
"...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu.
Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al.
Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
Kwa pamoja Watanzania wanaweza kujenga mustakabali imara. Ripoti ya Tume inatoa mwongozo wa kurekebisha na kuwajibisha wahusika. Mshikamano wa kitaifa ndio ufunguo wa amani ya kudumu.#RipotiYaChandeTume Ya Uchunguzi
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Aprili 23, 2026, chama hicho kimesema kinasimama imara katika msimamo wake wa awali...
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.
Hakuna namna hata ufanyeje.
Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.
Sasa huyu Samia leo anasema eti hiyo ripoti feki ya Chande ni mali yake binafsi na wasijitokeze watu kudai ownership...
📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani aliunda hiyo tume ! Jibu kila moja anajua.
2.je unadhani tume italinda maslahi ya nani !jibu tunalo
3.je...
Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
"Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais.
Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
Wakuu,
Rais Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam.
"Ndugu wananchi, wakati nafuatilia uwasilishaji wa ripoti hii katika... nilisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.