Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2024 imeonyesha kuwa kiwango cha njaa duniani kimepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo, hasa kutokana na upatikanaji bora wa chakula nchini India na katika baadhi ya maeneo ya Amerika Kusini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iitwayo State of Food Security and...
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya?
"Ningewachambulia hapa ripoti za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali namna zinasema manenomabaya. Hizi ripoti...
Usitishwaji wa usambaji wa mafuta katika injini ya ngede kabla ya kuanza safari imetajwa kama sababu ya iliyosababisha ajali ya ndege ambayo imeua watu takriban 260 hii ni kwa mjibu wa ripoti ya uchanguzi ambayo imetoka
kulingana na ripoti ya ofisi ya upelelezi wa ajali ya ndege ya india...
Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na kuendelezwa kwa ndoa za utotoni.
Hayo yamo kwenyue utafiti uliofanywa na (SAIIA) kwa kushirikiana na...
Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma.
Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima
Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa...
Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba
Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu.
Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024.
Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE.
Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
Wanaukumbi.
NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda wa Gaza.
Callamar aliongeza katika ripoti yake: "Amnesty International imeandika mauaji ya halaiki...
RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI
JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu
Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.