Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
Vikosi vya Israeli vimewakamata maafisa 3 wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wiki hii kwa kuhusika kwao katika kuanzisha kituo cha ukaguzi kisichoidhinishwa karibu na Beitunia katika Eneo C na kumkamata mwanajeshi wa akiba wa Israeli huko mwezi uliopita.
Mwanajeshi huyo wa akiba alikamatwa kwa...
Hello Jamii,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, lakini mara kwa mara huwa naenda Tanga kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Kwa kweli, nimeshtushwa na hali ya usalama ninayoiona kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya Tanga Mjini.
Kuna taarifa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa vikundi vya uhalifu...
Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi.
Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
Kumteka mwanachama wa CCM kwa sababu amethubutu kuikosoa serikali na chama chake ni ishara ya hatari sana kwa demokrasia yetu.
Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
Mwananchi ana haki ya kusema ukweli. Mwanachama...
My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika mitandano ya kijamii wameshtakiwa mbele ya Mahakama ya ICC kwa tuhuma za makosa ya uhalifu dhidi ya...
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada
Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yakiiitaka ichunguze madai ya uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi.
Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba
Sample bajeti
Idadi ya mikoa 5
Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100
Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/=
Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/=
Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/=
500,090 logistics
jumla kuu 11,000,000/=
Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
Wakuu,
Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu.
Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?
Sidhani...
Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ?
Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa kuongezeka kwa kasi zaidi
Tutegemee ongezeko la uharifu zaidi
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.