Tanzania ina changamoto za ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma, kama zilivyo nchi nyingi duniani. Hata hivyo, ukubwa na aina ya matatizo hayo hutofautiana kati ya sekta na kipindi husika.
Baadhi ya viashiria na taarifa zinazothibitisha uwepo wa changamoto hizi ni:
Prevention and...
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati kuhusu mradi wa maji uliotekelezwa katika Kijiji cha Losikito, Kata ya Mwandeti, Wilaya ya Arusha DC, ambao ulitengewa bajeti ya takribani Shilingi bilioni 2.5.
Kwa mujibu wa taarifa za wananchi, mradi huo ulikamilika mwaka jana kwa gharama zinazokadiriwa...
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia kuhitimu.
Mkuu wa chuo anawaambia hataki kuulizwa kuhusu bima, waombee wasiugue au wajilipie...
TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote.
Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili.
Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, Kwa mujibu wa Kanuni ya 37(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS kuwapumzisha kutekeleza majukumu yao watumishi 14 wa Halmashauri hiyo...
Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno.
Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw. Josephat Ambilikile.
Wakiwa wamechoshwa na kile wanachoita utendaji mbovu, matumizi mabaya ya madaraka...
Anonymous
Thread
atuhumiwa
elimu
elimu msingi
kumlinda
mkuu
msingi
mtandao
ubadhirifu
unyanyasaji
Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016.
Hatua hii ni pigo kwa mwanasiasa huyo mkongwe na inafifisha ndoto zake za kuwania tena urais mwaka 2027.
Viongozi wa...
ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA
Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha mapinduzi ccm kutokana na kuendesha genge la vijana wahuni wanaotukana na kuanzisha fujo katika mikutano ya...
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha.
Tumechagua viongozi kwa...
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake.
Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi.
Aidha...
Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4.
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
My Take
Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja.
====...
Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya:
Uwazi na Uwajibikaji
Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
“Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG
Wakati...
Utangulizi
Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
Utangulizi
Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu.
Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji.
Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati inatumia pesa za walipa kodi.
Tuwe macho huu ni upigaji hatujaona wizara za mambo ya nje zikajikita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.