kulipia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Huwa natumia dollar 200 sawa na 460k za kitanzania kulipia internet kwa mwezi.

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ada za Carryover na Supplementary katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa masomo 2025/2026. Utaratibu huu umekuwa changamoto kubwa kwa wanafunzi, hasa wale wenye hali duni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za hati upande wa Premium, ni asilimia ngapi?

    Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi namna rahisi ya kulipia hizi AI apps online?

    Kuna baadhi ya apps humu mtandaoni pamoja na kwamba zinajitangaza kama ni free, la ajabu unapomaliza kuitumia na kuhitaji kui save au download wanakuletea mpango wa kulipia kwanza.Kinyume cha hapo kazi yote uliyoifanya unaipoteza.. Sasa ni njia zipi rahisi za kulipia maana nyingi ya hizo kama...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sawa eneo la parking kituo cha treni za SGR kuwa za kulipia

    Kwa maon yangu mimi naona si Sawa eneo la parking pale kituo cha treni za mwendokasi kuwa za kulipia kwa wananchi wanaokwenda kupeleka au kupokea ndugu zao.SIO LAZIMA KILA HUDUMA WANANCHI WAWAJIBISHWE. Mbona zipo sehemu nyingi tunabanwa kulipia kodi?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje mtu mwenye tiketi analazimishwa kulipia ushuru wa kuingia katika Stendi ya mabasi 88 Dodoma?

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani. Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa kulipia Huduma ya kliniki kwa mama wajawazito zahanati ya lilahi (Songea- RUVUMA)

    Mama wajawazito wanalipia Tsh 10,000 Huduma ya kliniki (Zahanati ya Lilahi - Songea)
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Damu ndio sarafu pekee ya kulipia huduma zote zinazotolewa katika ulimwengu wa roho (Damu ya Yesu ilifanya kazi hiyo)

    Mathayo 26:26–29 Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.” Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika hiki; kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Bagamoyo walisema kuunganishe umeme baada ya kulipia ni Siku 30, sasa wanasema siku 60

    Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Meta kuanzisha Huduma za Kulipia (Subscriptions) Kwenye Instagram, Facebook, na WhatsApp, Mipango ya AI Yaja

    Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions) Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha SGR – Dar kitengewe sehemu ya madereva kuchukua abiria wao, kulipia buku hata kama unapita tu si sawa

    Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu. Namaanisha...
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania BASATA mfumo wenu wa AMIS haufunguki karibu wiki ya pili sasa na watu wanashindwa kulipia leseni au mmeminya makusudi kuna rushwa hukoo!

    Nchi hì hata kama utakuwa na moyo wa kulipa kodi na mapato kwa hiyari bado utakumbana na changamoto tu za kukufanya uachane na mpango huo, ukitaka kulipia leseni za sanaa na saloon unalazimika kuwa na namba kutoka BASATA ambazo itazipata kwenye mfumo wao wa AMIS ,lakini cha ajabu mfumo wao huo...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kulipia Netflix out of curiosity

    Napenda sana movies na animated series. Hizi ndio my number 1 entertainment lakini sijawahi kutumia legal app yoyote Nilidhani subscription za Netflix ni expensive mpaka jana wakati nafuatilia animated series ya "Devil May Cry" Season 2 inatoka lini, nikapata idea kwa nini nisiangalia Netflix...
  17. O

    JamiiForums Tanzania KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini? Nmb imewezeshwa ila...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Baba wa Kambo kuendelea kulipia matunzo ya watoto wake wa kambo mara baada ya talaka na single mama

    Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana. =========================== Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)

    Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida. Sasa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kulipia ushuru wa magari na mizigo bandarini

    Habari Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi. Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
Back
Top Bottom