Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje.

Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi zaidi katika kulipa Madeni ya Nje kuliko kuwekeza katika Masuala ya Afya. Kwa upande wa Tanzania kiasi kinacholipa Madeni ni zaidi ya Bajeti inayotumiwa katika Afya ambayo ni chini ya 9.4% kila mwaka hadi kufikia mwaka 2020.

Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BOT), hadi kufikia Agosti 2023, Deni la Taifa lilifikia Tsh. Trilioni 101.2 ambapo Deni la Nje ni Tsh. Trilioni 71.4 na Deni la Ndani liliongezeka hadi Tsh. Trilioni 29.2. Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24 ni Tsh. Trilioni 1.23.

========

image_2023-10-28_11-11-40.png

Education expenditure refers to Government expenditure on education, total (% of government expenditure)
Health expenditure refers to Domestic general government health expenditure (% of general government expenditure).

Even before the pandemic, more than 30 African countries spent more on debt service than on healthcare.

This chart shows yearly external debt service owed to bilateral, multilateral, and private creditors as a percentage of total government expenditure. Debt service is interest plus principal payments on public and publicly guaranteed (PPG) debt.

Government expenditure refers to general government expense, net of acquisition of non financial assets. Data for recent years are IMF estimates from the World Economic Outlook.

Source: International Debt Statistics (IDS), UNESCO Institute of Statistics, WHO GHED, IMF WEO
 
Na ndiyo madhara ya kuwa na wataalamu wenye elimu ya kununua, na kukariri madesa. Kichwani kunakuwa kumejaa minyoo tu.

Ndiyo maana hatushangai kusikia eti wamekopa bilioni 76 kwa Waarabu, na wakati huo huo wanalipa nilioni 76 hiyo hiyo kwa Wajanja kama fidia, baada ya kuingia nao mikataba ya Kimangungo.
 
Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje.

Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi zaidi katika kulipa Madeni ya Nje kuliko kuwekeza katika Masuala ya Afya. Kwa upande wa Tanzania kiasi kinacholipa Madeni ni zaidi ya Bajeti inayotumiwa katika Afya ambayo ni chini ya 9.4% kila mwaka hadi kufikia mwaka 2020.

Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BOT), hadi kufikia Agosti 2023, Deni la Taifa lilifikia Tsh. Trilioni 101.2 ambapo Deni la Nje ni Tsh. Trilioni 71.4 na Deni la Ndani liliongezeka hadi Tsh. Trilioni 29.2. Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24 ni Tsh. Trilioni 1.23.

========

View attachment 2795533
Education expenditure refers to Government expenditure on education, total (% of government expenditure)
Health expenditure refers to Domestic general government health expenditure (% of general government expenditure).

Even before the pandemic, more than 30 African countries spent more on debt service than on healthcare.

This chart shows yearly external debt service owed to bilateral, multilateral, and private creditors as a percentage of total government expenditure. Debt service is interest plus principal payments on public and publicly guaranteed (PPG) debt.

Government expenditure refers to general government expense, net of acquisition of non financial assets. Data for recent years are IMF estimates from the World Economic Outlook.

Source: International Debt Statistics (IDS), UNESCO Institute of Statistics, WHO GHED, IMF WEO
Tuko vizuri sana
 
Kuna siku mama alisema hadharani Mwigulu alimpigia simu usiku wa manane akipanic kuwa deni limeiva na hawana hela mama akamwambia chukua huo mkopo mpya kalipe!

Mama anaendesha nchi kama vikundi vyao vya upatu na vikoba!
 
Back
Top Bottom