• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

maua

 1. I

  Niteke ya Maua Sama

  Kwangu me hii ngoma ndio ngoma yangu Bora kwa mwaka huu.Wakati maua sama ametoa iokote nilizani amebahatisha hi ngoma ilikuwa kubwa sana kuliko jina la maua sama nikajiuliza je ngoma inayofuata itaifunika iokote bila Shaka maua sama kapindua meza ndio ikatokea hi ngoma. Hi suala lilimshindwa...
 2. FRANCIS DA DON

  Huu mti umeanza kutoa maua baada ya miaka 20, niukate au niuuze kwa gardeners?

  Huu mti ni aina ya Cactus kama sikosei, tangu ulipopandwa mwaka 1999 sikuwahi kuuona ukitoa maua, hadi leo ndio nimeona maua yake. Tunatakiwa kuuondoa ili kupisha ujenzi, kuna mtu anautaka nimuuzie?
 3. beth

  Serikali kukodi ndege ya mizigo kupeleka maua, samaki nje

  Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
 4. N

  Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

  Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia manake hazinaga ujumbe unaoeleweka...nikifananisha na akina Nandy , Linah, Maua Sama,Lady JD na...
Top