Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza
Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
1.Truck driving.
2. Heavy Duty machine operator
3.Tafsiri na mkalimani(Chinese)
4.Ufundi Bomba
Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications)
Ahsante
Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini.
Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
Neema alikuwa amechoka.
Miezi mitatu ya research, na bado literature review ilikuwa "rough draft." Supervisor alimwambia mara nyingine tena: "Rudi uiandike title upya." Alianza kujiuliza: "Mimi ni mjinga? Au kuna kitu sijui?"
Hakuwa mjinga. Alikuwa anafanya kazi ngumu kwa njia ya zamani.
Siku...
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani.
Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume.
Wanaume tumebaki wachache sana....
Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke.....
1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke.
2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka...
Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
Mbona mmeanza kutuogopesha wajamene
Yaan kila ukifingua fb unakutana na sijui unatatizo la kuwahi kutandani
Una tatixo la mashine kulegeaaaa
Wengine vidada nahisi kama vina tumia majina ya kike kytapeli na pengine n wanaume
Yaan leoo wamejazana na madaa mpya
U a.Kibamiaa piga namba xyz...
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka.
Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi.
Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi.
Yote tisa, kumi ni hii...
Anaonekana clearly hayuko fit, kifo anakijua Mungu ila kwa upate wa akili(mental fitness) hawezi kumudu kwa miaka miwili zaidi ijayo. Atapotea kwenye macho ya umma siku sio nyingi.
I don't care much about Uganda politics, but since he and his insane son is number one supporters of killer Samia...
Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi...
Mawaziri kutoka Ukraine, Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Umoja wa Ulaya watakutana nchini Uswizi ili kujadili mpango wa pointi 28 uliopendekezwa na Washington wa kumaliza vita na Urusi. Hapa ni maelezo ya hoja kuu za mpango huo wa Marekani kwa Ukraine:-
Kusitisha mapigano mara...
Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu
Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.