mteja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Gawio la Bilioni 61 za NIDA: Mteja wa Mwisho ni Wewe! Taarifa zako Binafsi zinapogeuzwa kitegauchumi na Serikali

    Tarehe 30 Juni 2026, Ikulu ya Dar es Salaam ilishuhudia hafla ya kila mwaka ya upokeaji wa gawio na michango ya taasisi za umma. Miongoni mwa waliopanda jukwaani ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA. Cheki kubwa ilikabidhiwa mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Thamani yake: zaidi ya...
  2. sukariyawarembo

    JamiiForums Tanzania Mteja na Waranti

    Za mda huu wakuu. Nimepata changamoto hapa kazini kuna duka tunauza magodoro na mimi nimekuja hapa sio mda mrefu mana ni la familia,sasa changamoto ni kuhusu wateja kununua godoro baada ya muda wanakuja wanasema wanataka kurudisha eti kisa linabonyea sana katikati,sasa nachotaka kujua na...
  3. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama ulisikia kuwa NMB wanatoa mkono wa pole kwa mteja akifariki basi ulidanganywa!

    Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!! Hebu angalia hiki kisa changu! Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi.. Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mfumo wa TBS unasumbua kutoa gari Bandarini, gharama zinakuwa kubwa na zinaangukia kwa mteja

    Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kwa kweli hali hii inakatisha tamaa sana. Tangu mfumo huo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni zinazounga internet ya nyumbani hazisemi ukweli kuhusu kiasi cha ‘data’ anayopata mteja

    Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  7. astalavista

    JamiiForums Tanzania Mfanye mteja asikie tangazo lako la biashara kila akikupigia badala ya ringtone ya kawaida.

    Ni sisi ONFON MEDIA watu mahiri kwenye mifumo mbalimbali, wakati huu tunakusogezea huduma ya RING BACK TUNES kwa gharama ndogo sana ya 30,000/=. Mfanye mteja wako apokelewe na ujumbe maalumu mara tu akupigiapo simu. Nipigie/WhatsApp 0795790411
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa magrill uwe karibu na maeneo ya Mbezi kwa Mathias

    kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii Piga kwenye hii namba 0792797806 Robinson Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias akuelekeze jinso ya kufika
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PSSSF: Kwa TEHAMA yetu ofisi zetu nchini pote zinaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
  11. Hharyson

    JamiiForums Tanzania MTEJA AMETUPIGIA NA KUWA ANAHITAJI NYUMBA KUBWA (6BEDROOMS)NA YENYE MUONEKANO WA KISASA AMBAO SI SIMPLE SISI TUMEMPA HIZI OPTION 3 WEW UMEPENDA IPI ?

    6BEDROOMS SEBULE KUBWA NA NDOGO JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN) DINING WITH PATIO MASTER WITH PATIO TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Biashara zilivyo yani mteja unamuelekeza duka lengine kumbe ilo duka nalo huyo mteja siku akienda kuuliza kilichopo hawafanyi kama kwako alivyokosa

    Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja. Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
  13. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mteja - Madini ya Quartz MOQ 1 Tonne

    Habari! Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta wateja wa madini ya quartz kwa mzigo wa kuanzia tani moja (1 Tonne) Quartz hizi zinapatikana kwa mfumo wa Mapande (hii ni quartz ambayo haina umbo maaalumu yani ni mwamba ambao tunaukuta wote ukiwa kioo kwa kuwa mwamba huu ni mkubwa...
  14. snipa

    JamiiForums Tanzania Je kifurushi chako cha MB, dakika au SMS kikiisha muda wake wajua kuna uwezekano anauziwa mteja mwingine?

    Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake. sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi? Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania USA wako mbali sana: Sahivi Tesla inatoka kiwandani ilikotengenezwa hadi nyumbani kwa Mteja bila dereva!

    Ni Tesla tena. Juzi wameshazindua officially huduma ya robotaxi, kwa kuanzia Austin, Texas, ambapo mteja utaita gari like Uber/Bolt hafu itakuja Tesla bila dereva, na kukupeleka unapoenda. Makato juu kwa juu. Sasa sahivi wameenda next level na autonomous driving. Gari ikitoka kiwandani...
  16. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuangusha noti bila mteja kujua

    Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale... Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia...
  17. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mteja alipie huduma yako haraka sana (bila kusubiri!)

    Unakutana na mteja, mnamaliza maongezi vizuri kabisa, lakini mwisho wa siku anakwambia: ✍️Nitarudi baadaye ✍️Naitaji kufikiria kwanza ✍️Ngoja niongee na mwenza wangu Yaani, anapotea hewani bila kulipa 😤 JINSI YA KUMFANYA MTEJA ALIPIE HUDUMA YAKO HARAKA SANA (BILA KUSUBIRI!) Kwa Nini Wateja...
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
Back
Top Bottom