kiwanja kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini

    Habari , Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano ) Ukubwa ni 331sqm Huduma zote zipo ndani ya eneo. Kipo Barabarani. Kimepimwa na Survey form ipo . Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo ) Mawasiliano 0796007039
  2. S

    JamiiForums Tanzania KIwanja kinauzwa Dodoma Mjini

    Habari , Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano ) Ukubwa ni 331sqm Huduma zote zipo ndani ya eneo. Kipo Barabarani. Kimepimwa na Survey form ipo . Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo ) Mawasiliano 0796007039
  3. Strong25

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    -Kiwanja kipo vianzi kwamtopa (vikindu) pwani kinauzwa 5M . -kinaukubwa wa mita 12x21 kinamsingi wa vyumba viwili kimojawapo ni master , jiko , sebule, choo chandani Mteja serious njoo inbox
  4. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kibaha Mfipa TZS 5.5M

    Kiwanja hiki kinauzwa kibaha kwa mfipa 5.5M Upande wa mama Anna Mkapa. Km 5 kutoka morogoro road Mawasiliano 0754088347
  5. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

    Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Nyamhongoro Mwanza (502 sqm)

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza, ni sehemu nzuri sana, 502 sqmts, block 5, kuelekea kwa mapadri...Bei 26 mil..maongezi yapo..Hati ipo.. Karibu sana mteja mpendwa.. mercybriella@gmail.com
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Victoria Dar Es Salaam. Ukubwa ni heka 1 bei ni Dola Milioni 6

    Eneo hot cake sana linauzwa. Lipo Dar Es Salaam, Victoria. Ukubwa wa eneo ni eka 1 au sqft 48,500. Ni plot ya 3 kutoka Bagamoyo Road. Full documents Bei ni Dola Milioni 6 Call/WhatsApp +255758844717
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mfipa

    4
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha kina sq merter za mraba 500+ kimepimwana kina bicon

    Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
  10. Sonship

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa madale mvumoni (ushuani )

    KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI 📍 Mahali: Madale Mivumoni 📐 Ukubwa: SQM 1,600 📄 Kimepimwa rasmi na kina Hati ya Wizara 🌳 Kipo katika mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi Kiwanja hiki kinafaa kwa: ✅ Ujenzi wa nyumba ya kifahari ✅ Apartments au nyumba za kupangisha ✅ Uwekezaji wenye...
  11. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi

    KIWANJA KINAUZWA – KIBAMBA KWA MANGI, UBUNGO Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa yako! Mahali: Kibamba Kwa Mangi, Wilaya ya Ubungo Ukubwa: Meta 20 × 25 Bei: TSh Milioni 14 tu (maongezi yapo) Umeme upo karibu Maji yapo karibu Barabara ya gari inafika...
  12. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Milioni 10 tu

    Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho. Kipo barabarani kabisa Nitumie message inbox if interested
  13. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  14. Sonship

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe-kwa Paulo

    KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO) 📍 Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa. 📐 Kiwanja kimepimwa Ukubwa: 4,333 m² (Takribani Ekari 1.07) ✅ Eneo Kuu: 3,131 m² ✅ Swamp: 1,202 m² ⭐ Sifa za Kiwanja ✔️ Eneo ni tambarare, halina mabonde wala...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B kina nyumba za self

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwab Bunju B Beach maeneo ya kwa Mjeshi. Kina hati. Sqm 600. Kuna self 3 double na single 2 zina vyoo nje. Wapangaji wapo. Kuna pagala halijaisha. Bei ya mwisho mil 90. Kwa anaye hitaji apuge simu 0796538437 mmiliki wa kiwanja
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Arusha Sanawari

    Ni kiwanja kiluchopo Sanawari chapili kutoka Lami ya bara bara kuu ya Arusha Moshi. Kiwanja kipo jirani na Redio mbingu duniani kinauzwa Milioni 110 top. Ukubwa ni 20x20. Kinafaa kujenga apartments za ghorofa au mahitaji mengine. 0785931267 kelvin kwa maelezo zaidi na kupelekwa site kilipo
  17. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa, Usagara Mwanza

    Habari wadau? Kiwanjq kizuri, gentle slope, eneo la makazi 45/23m 1km from Main road Bei 4M tu Njoo tuzungumze
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa bagamoyo kidomole kimegusa lami heka 10

    Kiwanja kinauzwa bagamoyo kidomole kimegusa lami heka 10 zinauzwa zote nipigie 0743257669 bei ya kuanzia mil 600
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kimara temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  20. Sonship

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA BAGAMOYO MJINI -BLOCK ALA

    🏡 KIWANJA KINAUZWA – BAGAMOYO MJINI 🏡 📍 Location: Mkuni (BLOCK ALA), Bagamoyo Mjini ✔️ Jirani kabisa na Mahakama Mpya ya Bagamoyo ✔️ Mtaa wa kishua na uliopangwa vizuri 📐 Ukubwa: Square Meter 1,491 ✅ Kiwanja tambarare ✅ Kina Hati Safi ya Wizara ✅ Kodi ya ardhi inalipiwa kila mwaka 💰 Bei...
Back
Top Bottom