Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake.
Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili...
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha.
Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
Anonymous (9651)
Thread
account
benki
bila
bila kujua
elimu
kujua
makato
mwezi
pesa
sahihi
stahiki
taarifa
taarifa sahihi
wateja
Wakuu Habarini za Siku ya Leo? Natumaini mu wazima wa Afya. Na wale wagonjwa nawaombea uponaji wa mapema ili waendelee na majukumu yao ya kila siku.
Niende kwenye hoja.
Mimi sikuwa mdau wa kukopa kopa simu ila, baada ya kuwa na kazi kadhaa zinazotumia charge ya simu kwa kasi na kumaliza charge...
Unaweza kutengeneza milango mizuri, madirisha, mageti, grill, meza na bidhaa mbalimbali za chuma—lakini mwisho wa mwezi ukajiuliza: “Mbona nafanya kazi sana lakini biashara yangu haikui?”
Tatizo linaweza lisiwe uwezo wako wa kuchomelea. Huenda kuna mambo muhimu ya kibiashara unayapuuza bila...
Habari,
Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa “namba yako imesajili namba za uhalifu.”
Hata hivyo, hili si jambo jipya. Awali nilishawahi kwenda...
Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.
Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb
The Worst
Marcostilone
mcTobby
Tumelipia vifurushi vya mwezi lakini kila siku wanakata mtandao na kutuomba radhi lakini hakuna fidia juu ya muda wetu unaopita bila huduma
Kiukweli wateja wa Airtel tunaumizwa sana
Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa kwa vimemo.
Tunaweka pesa zetu kwa trust ila CRDB wameamua kujifanya wamejizima Data kwa hili...
JKN Airport (DAR) bado ina mapundufu makubwa sana kwenye nyanya za kimataifa ila mimi binafsi ninakerwa na hizi tatu:
(a) Kutokuwa na mfumio unform wa kuhudumia wateja. JKN sasa hivi hutoa upendela wa wazi wazi kwa wachina kuliko mteja yeyote. Mnajipanga kwenye foleni moja, halafu mchina aliyeko...
Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB,
Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
Hapo ndipo fursa kubwa ya biashara ya DELIVERY SERVICES ilipo. Lakini kabla hujanunua pikipiki au kuanza kusafirisha mizigo, kuna mambo muhimu unapaswa kuyajua…
Kwa ukuaji wa biashara za mtandaoni Tanzania, huduma za delivery zinaweza kuwa fursa nzuri kwa mtu anayejenga mfumo unaoaminika na...
Habari wadau, naomba ushauri. Ni njia gani nzuri na practical ya kupata wateja wa kutengeneza websites?
Nimejaribu kuwa-approach watu moja kwa moja, lakini nimeona changamoto kubwa ni pale ninapotaja bei—nahisi kama bei zangu zinaonekana kuwa kubwa.
Mbali na kutengeneza websites, pia nafanya...
Refurbished si tatizo.
Tatizo ni greed, deception na kumuuzia mteja kitu tofauti na kile anachoamini amenunua.
Na ndio maana sikuhizi mitandaoni utaona videos nyingi zinatrend wateja wakipeleka polisi kwenye maduka ya simu au mawinga wakizozazana na wenye maduka kuhusu simu zilizorudishwa na...
Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti yangu, lakini hadi siku ya tatu, mlengwa hajazipokea.
Nilipojaribu kuwasiliana na NMB kupitia DM...
Hivi ninyi Idara ya maji mkoa wa Mbeya mnashida gani? Haiwezekani tumelipia maji toka Jumatatu mpaka leo hii hamtaki kurejesha maji .
Mnapigiwa simu mnaahidi kutuma mafundi lakini mafundi wenu hawaji, mnategemea watu wanaishi je.kama kuna shida nyingine tujuzeni sababu malipo yote tayari tumefanya.
Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari.
Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.