ubabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hamis77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jürgen Klopp anazungumzia ubabe wa Pep Guardiola na jinsi Mikel Arteta alivyomaliza enzi hiyo 👀🏆

    🚨| Jürgen Klopp anazungumzia ubabe wa Pep Guardiola na jinsi Mikel Arteta alivyomaliza enzi hiyo 👀🏆 🗣️ “Sote tunajua jinsi Pep alivyokuwa mtawala nchini Uingereza. Kwa miaka mingi alikuwa akidhibiti ligi na wakufunzi/makocha wengi hawakuweza kuendelea na kiwango kile.” Klopp kisha alitania...
  2. Fene

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunajifunza nini kuhusu ubabe wa dunia/kuhusu vita vinavyoendelea?

    Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli? Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla? Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia, Je tuna air defensive systems Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je huu ndiyo mwisho wa ubabe wa Marekani na kufutwa Mashariki ya kati?

    Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vita ya ufahari, gharama ubabe na kupimana ubavu

    https://www.facebook.com/share/r/19UEzPsz9d/
  5. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubabe wa Marekani unajitanua zaidi

    Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa tathmini "mbinu tofauti" zitakazosaidia kuchukua eneo la Greenland, ikiwa ni pamoja na matumizi ya kijeshi, White House ilisema. Ikulu ya White House iliiambia BBC kwamba kupata Greenland - eneo linalojitawala linalosimamiwa na nchi mwanachama mwenzao wa...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu acha ubabe kipindi hiki, haulipi

    Kipindi hiki ubabe haujengi, unabomoa. Unaweza kuilinda nchi nchi kwa diplomasia na wànanchi ambao ndio wenye nchi!
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Murilo anakaa wapi tukamsalimie? Tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda

    Murilo anakaa wapi tukasalimie tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharib zitageukia kuongoza kimabavu na ubabe, na zimeshaanza

    Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja. Kutokana na muingiliano wa kijamii (...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Huu ubabe wa Israel kwenye kuteka anga za mataifa ya ukanda wote huo unatisha sana

    Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000 Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Night Club kuna wahuni wenye ubabe wa kizamani

    Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana. Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Rushwa na ubabe watawala uchujaji wa wagombea CCM Moshi Vijijini

    Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ohoo! CCM waanza kumkana Samia juu ya ubabe wake kwa Chadema.

  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama Trump, kwa ubabe tu, anadai aichukue Greenland ya Denmark, anaweza kudai aichukue Zanzibar ya Tanzania. Hilo lazima litazamwe

    Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata, sababu mojawapo akitambua kuwa katika sias nchi rafiki leo inaweza kuwa nchi adui kesho. Sasa fikiria...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Marekani wasababisha uhusiano kati yake na Afrika Kusini kuzorota

    Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
Back
Top Bottom