1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
Wakati wa vita vya tariffs vilivyoanzishwa na Trump dhidi ya China mwaka 2024, baadhi ya kampuni zilihamisha uzalishaji China na kwenda mataifa kama Vietnam, Indonesia na India.
Hatimaye wamegundua kuwa Trump aliwapeleka chaka wamelazimika kurudi tena China.
Companies left China to dodge...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
Walianza na FAM& Co.
Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza.
Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga.
Kamwaga ya Direct Contact ya Heche ma Boss Kubwa.
Mtananage ukiendelea siku 2 Mtajua Mengi ya sirini.
Chadema ikibali...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.
Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu.
Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
This is the second call. Kesho mtawabomolea watu maana hawa ui mwisho wa road reserve ni upi.
Nilishaandikia humu as a wake up call kuepusha migogoro ya kesho. Watu wanajenga petrol station kwenye road reserves!
Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu.
Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio.
Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi...
Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake.
Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi.
Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi
Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
🏢 ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI LINAPATIKANA — MBEZI MWISHO!
Mbezi Mwisho, sio mbali na Stand ya Mabasi ya Mbezi Magufuli
🛣️ Linatazama moja kwa moja Barabara Kuu ya Mbezi–Msigani
📐 Ukubwa: Heka 3
➡️ Sqm 12,300
ENEO BORA KWA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA!
Eneo hili linafaa kwa miradi mbalimbali...
🏠
💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI!
Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa.
📐 Kiwanja: 300 SQM
🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months.
Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka.
Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu wakisafisha njia kuelekea mahakamani au hata kurushiana makonde, wakigombania namna ya kugawana mali...
Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell).
Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira...
Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao.
Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia,
Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa.
Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba; linaendeshwa kwa hofu, vitisho, na ukatili unaotokana na ugonjwa hatari unaoitwa "Madaraka ya...
1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia.
2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida
3. Nlisema Wayebus...
Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee.
Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi.
Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.