Guys,
Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu
Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na...
Wadau, mambo ni mazito kwa maelfu ya students wa Kenya Institute of Management baada ya Technical and Vocational Education and Training Authority (TVETA) kuifungia kabisa na kufuta vyeti vyote vilivyotolewa kuanzia 2018
Hii si mchezo imagine umesoma miaka kadhaa, umelipa fees, umegraduate…...
My Take
Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo.
https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
Serikali ya Uganda imetangaza mabadiliko makubwa katika utumishi wa umma ambapo Mkuu wa Utumishi wa Umma na Katibu wa Baraza la Mawaziri, Bibi Lucy Nakyobe, amesema serikali itahamia kwenye mfumo wa Mikataba inayohuishwa kila mwaka.
Chini ya mfumo huu, watumishi waandamizi wakiwemo Makatibu...
Dharula/emergency au Ugonjwa mmoja unaweza kufuta savings zako zote kama hujajiandaa
Watu wengi wanapanga bajeti vizuri lakini wanapuuza kitu kimoja muhimu sana: emergencies. Dharula haipigi hodi, hujui ni lini utapata malaria, hujui lini mama nyumbani ataugua, mwanao ataharibu mali za watu...
Haya ni useless, rubbish, zero service to the people. Yanamilikiwa na watu binafsi. Yapo mengi ongeza
1. TMA
2. TTCL
3. IKULU
4.JWTZ
5. POLISI
6. INEC,
7. Takukuru,
8. ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
9. ccm
ONGEZA
Ni habari iliyotikisa wengi, wengine wakacheka kwa uchungu na wengine wakashika vichwa: Chuo cha Arusha Technical College (ATC) kimetangaza kuwa hakutakuwa na sherehe za mahafali kwa wahitimu wa mwaka 2025, zilizopangwa kufanyika tarehe 31 Januari 2026.
Sababu? Asilimia 7 tu ya wahitimu ndio...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari.
Asante.
Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja.
Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
Nafikiri ndio sababu ya msingi ya mbavu nene akili kisoda kupelekwa wizara ya afya.
Amebeba ajenda muhimu moja tu, nayo nikupoteza ushahidi wa idadi za vifo na miili ya wahanga wa Mo29!!
Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo.
So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza.
Wanataka dunia isijue kilichotokea.
Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha.
Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa.
Katika mapendekezo hayo, mchezaji atakuwa na nafasi moja pekee ya kufunga; endapo atakosa, mchezo utaendelea kwa kipa...
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB.
Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
Au Kila mtu ajihudumie mwenyewe?!!! Na vipi kitmabaa, kila mmoja na chake au kimoja hiccho hicho?!!! Tupieni maujuzi kwa mustakabali mwema wa taifa letu wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.