kinywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Meno Yaliyotoboka au kuoza Yanatibika …Usipange Kutoa jino / Meno Yako!

    Habari , Iwapo meno yako yametoboka na unashindwa kutafuna chakula na Kujiamini mbele za watu basi Unaweza pata suluhisho la Kudumu kwa kupata huduma ya kuziba na Kutibia mzizi wa jino bila Kutoa jino lako -Huduma hii itakusaidia kuweza kuwa na meno imara -Utatafuna chakula vizuri -Utalinda...
  2. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Maeneo haya kampeni ya afya ya kinywa ikafanyike sana, hali ni mbaya

    1. Pemba 2. Unguja 3. Shinyanga 4. Mbeya 5. Kondoa 6. Kagera Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu. Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Tanga 4. Tabora
  3. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Dunia imeniacha kinywa wazi!

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA 🌍 Kusema ukweli sina siku nyingi sana tokea nimefika katika hii dunia, nina jumla ya wastani wa siku 10,800 sawa na miaka kama 30 hivi au 29., Kwenye kipindi chote nimekuwa hapa kuna mambo yameniacha kinywa wazi sana, naamini hata na wewe ndugu msomaji...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kifungua kinywa cha siasa zetu leo: Are women leaders worse dictators?

  5. Mr nobby

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Bubur Ayam inaweza kuwa kifungua kinywa bora zaidi baada ya English breakfast.

    Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Umri wa kuishi aliosema Mungu mwenyewe kwa kinywa chake ni miaka 120. Kwanini mnakomaa na miaka ya tabu ya 70-80?

    Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120) Sasa watu...
  8. masai dada

    JamiiForums Tanzania Hiki ndo kifungua kinywa changu

    Niongeze nini?iwe mlo kamili Karibuni
  9. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Breakfast battle

    BIla shaka wote mko vyema Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana. Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujua kinywa chako kinatoa harufu mbaya au hakitoi licha ya kwamba ulipiga mswaki vizuri?

    Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa. Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine?🐒 Mungu Ibariki...
  11. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

    Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona! Tuanze 1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na Sasa tunasikia itaundwa bodi nyingine maalumu kwa ajili ya kuangalia pensheni za Wastaafu!! Hapa source...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

    Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika tishu hizo ( Tonsil) Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afya ya Kinywa Duniani: Ni lini mara yako ya Mwisho kufanya Uchunguzi wa Kinywa?

    Kufanya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa: Umuhimu na Mara Ngapi Unapaswa Kufanya Leo, tunapoadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa Duniani, ni muhimu kutambua umuhimu wa kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa mara kwa mara. Afya ya kinywa ni sehemu muhimu ya afya yetu kwa ujumla, na uchunguzi wa mara kwa...
  14. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Kikubwa wote tumefungua kinywa hata kama mmenizidi!

  15. D

    JamiiForums Tanzania Ili uwe muongo mzuri ni lazima macho na kinywa vipatane.

    Macho yawe makavu na yasiyo pepesa pepesa, Na mdomo unene firmly
  16. The Eric

    JamiiForums Tanzania Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

    Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua kuna ile umepata breakfast then mchana lunch alafu mdomo unabaki bila usafi wa uhakika. Kuna harufu...
  17. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Maambukizi ya utando wa kinywa

    Maambukizi ya utando wa kinywa (Stomatitis), inahusu kuvimba na uwekundu wa utando wa mdomo (oral mucosa) ambayo husababisha maumivu na ugumu wa kuzungumza, kula, na kulala. Inaweza kuathiri mashavu ya ndani, ufizi, midomo na ulimi. Kuvimba husababisha kuundwa kwa vidonda vya mdomo, kimoja au...
  18. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

    Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana. Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa. Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa...
  19. issenye

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa. Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
Back
Top Bottom