anatafutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaysan salum

    JamiiForums Tanzania Kapotea anatafutwa

    KAPOTEA ANATAFUTWA Ndg zang watanzania pichani hapo anaitwa HUSEIN MRISHO ALEX umri ni miaka 13 anachangamoto ya ugonjwa wa kifafa ni mwenyeji wa mwanza, Kapotea maeneo ya Geita-Katoro. Naombeni msaada wenu kwa atakae muona ili tuweze kumpata.Namb ya simu 0656974260/0769575887.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ajira, House Manager anatafutwa, Karibu House, Mbweni

    Habari wapendwa, House Manager anatafutwa kwa ajili ya Karibu House, Mbweni. Please find attached.
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Tanzania kubandikwa na Mtanzania kwenye shamba lake ni kosa vipi bongo zozo kuitembeza nchi mbalimbali

    Mimi nilifundishwa kuieshimu Bendera ya Tanzania, nilifundishwa ikiwa Ina shushwa au inapandishwa Mimi nisimame MGUU sawa na kubana makalio yangu nisije Jamba ili Hali inapandishwa au kushushwa POPOTE pale. Leo Kuna mtanzania ametandaza bendera za Taifa kwenye shamba lake sijui alizinunua wapi...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nato anatafutwa aingie kwenye mfumo

    Drone strikes residential building in Romania (VIDEO) Romania’s Defense Ministry claimed that the UAV which injured two people in the city of Galati came from Russia A residential building damaged by a drone strike in Galati, Romania, May 29, 2026. © ISU Galati A drone crashed into an...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Alex Msama bado anatafutwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imesema inaendelea na msako wa Alex Msama ili ajibu mashtaka yanayomkabili Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam ijumaa, Mei 15, 2026, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kinondoni, Elizabeth Mokiwa, amesema tangu...
  6. Cherecheche

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mpenzi, Mwanza

    Seran Lamomy Fake P nakwede97 leo dada kazi kwenu changamkieni ndoa.
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mtu wa kazi

    Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha kupanga Binti anayehitajika anatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 24, asiwe mcharuko, awe na...
  8. AARONI ULAYA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwandishi wa vitabu

    Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri
  9. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Mke 35-45 Anatafutwa

    Umri wangu ni Mika 45, mfanyakazi+ mkulima, natafuta mke mkristo. Mcha MUNGU, mwenye bidii
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Amepotea, anatafutwa

    Anaitwa Nashir Adam ana umri wa miaka 29 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam, familia inamtafuta baada ya kutoonekana wala kupatikana kwenye simu tangu tarehe 28 ya mwezi June. Familia imejitahidi kadri ya uwezo kumtafuta bila mafanikio, tunaomba kwa teyote atakayefanikiwa kumuona popote apige...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Samia akiwa anatafutwa na viongozi wa kila nchi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

    Sio china, India, ufaransa, US …. Sasa wameona bora Ruto ! Mama sababu za kuchuja ni siasa zake ambazo ni za uongo uongo. Aliwahi kuwapa ahadi wakina kamala na Biden 🤮, China 🤮, India🤮, 4R 🤮, chaguzi huru🤮, rushwa 🤮, mikataba ya uwazi🤮, Kauza badari🤮, Kia🤮, misitu🤮, account ya Abdul Dubai...
  15. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mke umri 20-32

    Huu ujumbe umetoka kwa ndugu yangu . Sifa zake Umri 35 Kazi Mwalimu wa secondary Kazi anaendesha Biashara pia Ana Kazi mbili Biashara na ameajiriwa government Kama Mwalimu . Elimu degree BAED Kabila muhaya Sifa za mke Umri 20-32 Kama Ana mtoto pia inaruhusiwa Elimu awe amefika form four...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwanamke 35-45 years

    Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto Regnaldo Samweli Msuya (16) anatafutwa

    MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo. Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam. Anasoma shule ya secondary makumbusho kidato cha tatu. Kwa yoyote atakaye muona tunaomba atoe taarifa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Mwalimu wa Muda wa Kumuandaa mtoto anayeingia darasa la pili mwakani

    Katika kipindi hiki cha likizo, anatafutwa mwalimu anayefundisha darasa la pili (English Medium). Kwa mawasiliano zaidi, piga simu 0682405461
Back
Top Bottom