lori

Lori (Armenian: Լոռի, Armenian pronunciation: [lɔˈri] (listen)), is a province (marz) of Armenia. It is located in the north of the country, bordering Georgia. Vanadzor is the capital and largest city of the province. Other important towns include Stepanavan, Alaverdi, and Spitak. It is home to the UNESCO World Heritage Sites of Haghpat and Sanahin monasteries and the well-preserved Akhtala monastery, where Armenians, Georgians, and Greeks make an annual pilgrimage on September 20–21.The province was heavily damaged during the 1988 Armenian earthquake.
The province is served by the Stepanavan Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

    Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitokea Somanga kuelekea Kilwa Mkoani Lindi kugongana uso kwa uso na lori la mafuta leo April 22,2024 katika Kijiji cha Somanga. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi...
  2. D

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo. ===== Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema...
  3. A

    KERO Barabara eneo la Kongowe Mwisho - Vikindu haipitiki kwa siku 3 baada ya lori kuziba njia kutokana na ubovu wa barabara

    Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga. Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba njia, hakuna gari wala bajaj inayoweza kupita, hata pikipiki zinapita kwa tabu sana kutokana na eneo...
  4. M

    Ajali: Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi

    Ajali imetokea maeneo ya Mbagala Zakhiem ambapo kuna Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi. 📸 - Adventure_36 "X"
  5. Suley2019

    Basi la Tahmeed kutoka Busia kelekea Mombasa ladaiwa kugongana uso kwa uso na lori la mafuta. Wawili wafariki huku watano wakikimbizwa hospitali

    Tahmeed Bus kutoka Busia kuelekea Mombasa imegongana uso kwa uso na Lori la mafuta karibia na High School ya Mundika. Inasemekana kuna vifo na marejuhi baada ya Basi kulipuka. --- Two people dead, 5 hospitalised after fuel tanker collides with bus in Busia Two people have died as five others...
  6. M

    Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo. Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd. Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake . Video...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Trafic amegoma kumchukulia hatua dreva wa lori la jeshi

    Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi. Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita...
  8. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yatoa tena lori la vifaa vya msaada Hanang'

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu waliopata majanga. Akizungumza Mara baada ya kukabidhi Misaada hiyo Mwenyekiti Chatanda amesema...
  9. Lexus SUV

    Wenye uzoefu wa kupanda Malori yanayoelekea mikoani, namuomba hapa

    Habari wakuu , naomba ulizia kwa wenye experince ya waliowahi panda lori kwenda dodoma kwa ajili ya interview aje hapa atusaidie trip ilikuwaje, maana hali si hali wakuu dodoma moja... Au kwa anaejua yanakopatikana ma lori yanayoelekea mikoani kutoka dsm wakuu Kwa maana. Kiuchumi...
  10. Roving Journalist

    Songwe: Watu 5 wapoteza maisha katika ajali ya Lori na Bajaji

    Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha. Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura. Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
  11. Pantomath

    Lori lililoibwa Ruvuma lapatikana Njombe

    Lori aina ya Howo, Tiper lenye namba za usajili T 459 EBX, mali ya kampuni ya CRCG inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe, lenye thamani ya Tsh. Mil. 150/=, lililoibiwa mkoani Ruvuma, limepatikana katika Kata ya Ramadhan iliyopo mkoani Njombe. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Mkoa wa...
  12. Nyendo

    Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami. Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
  13. BARD AI

    Abiria 20 wanusurika kifo ajali ya lori, Coaster

    Zaidi ya abiria 20 waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Coaster lililotokea Tunduma kwenda Mpemba katika Barabara ya Tunduma Mbeya wamenusurika kifo baada ya lori la mafuta kufeli breki na kuligonga basi hilo. Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Dickson Kapungu amesema tukio hilo lilitokea...
  14. Pascal Mayalla

    Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

    Wanabodi Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!. Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update. Paskali Update Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  16. Sildenafil Citrate

    Lori lenye mifuko ya saruji lateketea Tegeta

    Lori lenye mifuko ya Saruji limetekea kwa moto katika eneo la Tegeta Kibo Jijini Dar es salaam leo Februari 06/2023 Hakuna madhara ya kibinadamu yaliyoripotiwa kutokana na moto huo
  17. Mzalendo39

    Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

    Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma. Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi ==== Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
  18. Elli

    Ajali ya Lori Wazo Hili Tegeta

    Kuna taarifa za Ajali mbaya ya Lori lililobeba Cement kuparamia gari ndogo kadhaa na Kuna taarifa ya vifo. Poleni kwa wahanga
  19. Kindeena

    Dar: Lori lililopakia saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta Wazo

    Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea. --- Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
Back
Top Bottom