kusudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

    Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu.. Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko.. Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi...
  3. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Unakuta ni mtu mzima mwenye heshima zake ila hajui kuandika kwa ufasaha, wengi wao wanafanya kusudi AU ni kweli hawajui?

    Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

    Ni kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi? Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo, kushindana ukubwa, wingi wa mali n.k; sasa nikawa najiuliza hawa kweli wanajua kusudi la kuwepo duniani...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
  7. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutotambua kusudi lako hapa Duniani

    (Kwa masomo yenye kujenga na Nyimbo nzuri sikiliza hapa Jesus News Radio Sehemu ya Mwisho ya somo letu kutambua Kusudi lako 1. Kuishi Bila Mwelekeo Mmoja wa madhara makubwa ya kutotambua kusudi lako duniani ni kuishi maisha bila mwelekeo. Mtu ambaye hajui aliumbwa kwa ajili ya nini huwa kama...
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Lijue kusudi lako la kuzaliwa

    Lijue Kusudi Lako la Kuzaliwa Njia halisinunayo paswa kuipita ili kugikia kilele cha ndotobzako . Mfahamu mpenzi wako kwa undani. Elewa siri zilizojificha kuhusu familia na ukoo uliozaliwa. Zifahamu sababu za changamoto unazopitia mara kwa mara — na njia sahihi za kukabiliana nazo — kupitia...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Lijue kusudi la wewe kuzaliwa hapa duniani kama binadamu

    Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa hii dunia kurudi ulikotoka! Haupo duniani ili mradi hupo tu, la hasha, hupo kwa ajili ya KAZI AU WITO...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
  12. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kusudi lako la kuishi duniani

    Habari Wakuu! Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na  kuliishi kusudi lake. Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
  13. The Cock

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Nchimbi, Mungu analo Kusudi na Nchi yetu Tanzania!

    Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake! Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?

    Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
  15. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Kuna kusudi la Mungu wewe kusoma huu uzi

    HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA. Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda. Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia. Ni wewe unayeenda. Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho. Ni...
  16. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kusudi la kuishi?

    Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura ya dunia hii bila kuzipitia. Changamoto huja kwa nyuso tofauti-tofauti kwa kila mmoja, na kamwe haziwezi kufanana wala kuwa na uzito wa aina ile ile kwa watu wote wanaozipitia. Ikitegemea na...
  18. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Kijana fahamu na ishi kwenye kusudi lako

    Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia. Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako. Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi. Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo. Ni kama tunaiba hii...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

    Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti : 1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam. 2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu). 3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu.. ........ 1. Sina dhambi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nilidhani wanaokimbia madeni wanafanya kusudi

    Zamani nilikuwa najua watu wanao kimbia madeni wanafanya kusudi 🙌🙌🙌
Back
Top Bottom