misumari

  1. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  2. S

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Hakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu. Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni...
  3. BARD AI

    Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo. Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
  4. S

    Biashara ya kuzalisha misumari

    Wana Jamiiforums habari za kushinda! Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo. Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika...
  5. Z

    INAUZWA Pata misumari ya bati ya rangi kwa bei poa kabisa

    Bei-6500 kwa PC1Location-Dodoma, Michese mtaa wa kona. Pia ukihitaji ya rangi zingine kam blue, gree Namba yangu ni 0653426046 karibun wadau
  6. M

    Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
  7. Erythrocyte

    Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

    Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora. Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu...
  8. Analogia Malenga

    Kenya: Apigiliwa misumari kwenye mti kama Yesu kwa tuhuma za kuiba redio

    Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
Back
Top Bottom