matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania MPYA Je? ni kweli kuwa makampuni ya Bill gates yanaingiza matunda yasiyokuwa na mbegu Afrika.

    Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao. Katika chapisho hilo, mdai anasema...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

    Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Huwezi kula pesa, lakini unaweza kula matunda ya mti uliouweka kama dhamana

    "The Illusion of Wealth" — a 10-minute Swahili deep dive. We're living on a credit card with no limit: money you can't eat, forests we're liquidating for it. Three actions — change the metric, make trees collateral, buy village title. "You can't eat money, but you can eat the fruit of a tree...
  5. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa Nane nane Arusha na aina tofauti tofauti za spicies za matunda, ya Kibiashara ama kwa matumizi ya Nyumbani

    Tunataraji kuwepo Nane nane Arusha na Spicies tofauti tofauti za miche ya matunda uanayoweza lima kibiashara ama kwa matumizi yako ya nyumbani yaani Home use. Kama uko kanda hii ya kaskazini jongea hizo siku zikifika na jiopatie mbegu ama hata kushauriana tu pia kuna matunda ya kutest...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuki wanazotengeneza Mgambo wa Ilala ipo siku watayaona matunda yake

    Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bilioni 10 Zafungwa Kwenye Kiwanda cha Chaki Maswa, Wananchi Wasubiri Matunda Yasiyowadia

    Zaidi ya Sh bilioni 10 zimetumika kujenga Kiwanda cha Chaki kinachomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu. Mradi huo uliotarajiwa kuwa miongoni mwa miradi ya kimkakati ya kuongeza mapato ya halmashauri, kuzalisha ajira na kuchochea uchumi wa eneo hilo, bado haujaanza...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  9. emmarki

    JamiiForums Tanzania Kuivisha matunda kwa haraka

    Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika. Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
  10. emmarki

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kuivishia matunda (Ripening chamber)

    Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika. Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
  11. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Mbele ya Waziri Mkuu, Mzazi afikisha malalamiko ya mwanae kutekwa na Waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Ni huzuni kwa kweli, mwanamke mmoja huko Itigi - Singida ameeleza kwa uchungu mtoto wake alivyokamatwa na polisi wakamfunga pingu kisha kutokomea nae, mzazi wa mtoto huyo alifatilia kituo cha polisi bila mafanikio ya kumuona mwanae, ni siku 40 zimepita hajui mtoto wake alipo. Ameyaeleza hayo...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Gentamycine ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe

    GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana Namkubali sana GENTAMYCINE...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi [dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  16. Massenge1

    JamiiForums Tanzania Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  17. Keynez

    JamiiForums Tanzania Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa matunda ni chanzo cha kuua Ini

    Siku hizi huku mtandaoni naona kila mmoja amekuwa mtaalamu wa masuala ya afya, huyu anasema kula matunda yenye sukari eti ni chanzo cha kuua Ini, sijui anataka tule matunda yenye chumvi, JamiiCheck tafadhali mtupe uhalisia wa hili.
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  20. M

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
Back
Top Bottom