mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya OFFSIDE yaanza kufanyiwa majaribio! Vipi ije na Tanzania au unaona itaharibu mchezo wa Soka?

    Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea! Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hizi choppa leo si mchezo

    Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Messi Kurejea Argentina Kwa Mchezo Wake Wa Mwisho

    Lionel Messi ameitwa tena kwenye timu ya taifa ya Argentina kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin, Oktoba 6, 2026, utakaochezwa katika Uwanja wa Monumental jijini Buenos Aires. Mchezo huo utakuwa wa mwisho kwa Messi kuichezea Argentina baada ya kutangaza kustaafu soka la kimataifa mwezi...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LEMA waambie Wanagenge wenzio wanufaika wa Pesa za Kimama, Acheni Mara Moja huo mchezo, Watanzania Hawatawasamehe, LISSU hatowasamehe !!

    TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu. Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu. Kama ambavyo MBOWE kadharauliwa na Wananchi, ndivyo nanyinyi mtaenda kua hivohivo !!. Unapenda sana Kumtumia Mungu, Sasa...
  5. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories... La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana . Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama mchezo, anasahaulika!

    Ya wengine yalianza hivi hivi.......Soka, Mdude, Polepole and many many others! Nowhere to be found until this second of an hour! Muda utaongea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  8. O

    JamiiForums Kenya Nani Ako na Colours za Kenya? Mystery Yaendelea Huku Heha Movers Wakiingizwa Kwa Mchezo

    Nani ako na colours za Kenya? 🎨👀 Hilo ndilo swali lililotawala mitandao baada ya missing colours mystery kuchukua mkondo mpya, huku brands kubwa nchini zikianza kuripoti kwamba rangi zinazowatambulisha zilikuwa “zimepotea.” Naivas, Jumia, Glovo, KCB, Tecno na brands nyingine ziliingia kwenye...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

    Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha. Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
  10. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo; nikiacha ngumi, mchezo wa ngumi utakufa kabisa Tanzania

    Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa Siku za hivi karibuni katika mahojiano na B12/DAZEN Kuna maelezo amekaliliwa akisema kuwa ikitokea akaacha mchezo wa ngumi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa uogeleaji

    Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji, makocha na wazazi kupitia programu maalumu iliyoandaliwa na Monti International School. Ujio wa Ben...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hela ya 'Mchezo' kwa kiingereza inaitwaje?

    Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
  13. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Wanyama sio mchezo kabisa

    Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa. Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo. Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mchezo mchafu kwenye mfumo mpya wa kusajili madaktari (HPRS)

    Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na nikafanya malipo kwa kutumia Airtel Money. Malipo yalifanikiwa bila tatizo lolote, kama inavyoonekana...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa Marekani, mpira wa miguu(soka) ni mchezo wa wanawake?

    Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
  16. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Magoli Matatu Si Mchezo! ⚽😅

    Magoli kama yale ya Azam dhidi ya Yanga ya mda mfupi uliopita si rahisi kuyafunga, yalikuwa mengi sana 😅⚽️ Magoli matatu si mchezo! Wewe umecheza mechi gani ukafunga magoli kwa ufanisi kama Azam? 🤭 Ulikuwa unashindania kombe gani hasa? 😄 Mimi napenda mechi zenye magoli mengi, zinakuwa na...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Afariki dunia baada kurushwa bila kamba ya kumshikilia mchezo wa kujirusha daraja refu

    Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba

    Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026. Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

    Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuishangilia kwa ghafla Serengeti boys, huwenda kukawapo hofu na kupoteza mchezo

    Hizi ni fikra zangu tu binafsi, kuwashangilia na kuwatambua kwa ghafla, kuwazawadia, kuwatumia ndege, kuwajazia waheshimiwa tele, huenda vijana wetu wakaingia ubaridi hofu na woga, maana wamepandishwa juu na kupewa heshima kubwa ya kutambulika kwa ghafla. Binafsi niwajenge kisaikolojia...
Back
Top Bottom