irani

  1. Frontnn

    JamiiForums Tanzania Papa leo kuhusu vita ya Irani

    KATIKA NDEGE KUTOKA ROMA KWENDA MADRID JANA, MWANDISHI MMOJA ALIMUULIZA PAPA KUHUSU VITA VYA IRAN. JIBU LAKE: "Hakuna vita vya haki." Papa Leo XIV alikuwa akisafiri kwenda Hispania kwa ziara ya siku sita. Waandishi wa habari waliokuwa ndani ya ndege ya kipapa walimuuliza kuhusu vita vya Iran...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Irani inavyoleta mizwengwe kwenye Mazungumzo ya Amani na Marekani!!

    KWANZA, Iran inajua haiwezi kushinda vita hivi kwenye uwanja wa vita. Inaweza kushinda tu kwenye meza ya mazungumzo. Na kwa namna fulani, ndivyo hasa inavyoendelea. Kwa wiki kadhaa, mistari nyekundu iliwekwa. Tarehe za mwisho ziliwekwa. Maonyo ya mwisho yalitolewa. Kisha Iran ilifanya kile...
  3. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Trump: Tuliwapa silaha Wakurdi wazigawe Kwa waandamanaji wa Irani ila hawakuzigawa

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Al Jazeera Aprili 6, 2026, Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani ilijaribu kuwapelekea silaha kwa siri waandamanaji wa Iran kupitia wasuluhishi wa Kikurdi, zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya vita vya sasa kuanza, hata wakati huo ambao...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Marekani inaumizwa kichwa na Irani, kamwe haiwezi kujipalia makaa kwa namna yoyote ile dhidi ya Tanzania

    Licha ya hivyo, Porojo, uzushi na upotoshaji wa seneta Ted Cruz kwa maseneta wenzake, kamwe hauwezi kumshawishi Rais wa Marekani D.Trump, ambae kiukweli nae yuko confused, kuchukua hatua yoyote itakayo athiri uhusiano wa kidiplomasia wa kihistoria, wa muda mrefu sana kati ya Tanzania na...
  5. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

    Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Marekani anachezewa hivi na Irani? Kweli hakuna marefu yasio na mwisho

    Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump. Anataka haki kamili na sio vitisho. Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal. Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha. Iran asiwe na mshirika lkn wao katka...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa ngazi ya juu ya irani wageukana

    Irani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa kuwa anaona serikali yake imeanza kukosa nguvu. Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi...
  8. hamis77

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema Israel ipo tayari kwa vita muda wowote dhidi ya Iran

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel...
  9. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji Mkuu wa Irani Umeshambuliwa vibaya sana na vikosi vya US na Israel

    Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa. Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Trump kuhusu Uranium ya Iran: "Sijali kwa sababu imezikwa chini ya ardhi na wakijaribu kuyahamisha tutawashambulia"

    Rais Trump ametamka wazi kwamba kwa sasa "hajali" kuhusu akiba ya madini ya Uraniam (HEU) yenye uzito wa kilo 440 inayomilikiwa na Iran. Sababu yake? Anasema madini hayo yamefukiwa chini sana ardhini kiasi kwamba Marekani inaweza kuyafuatilia kwa urahisi kupitia satelaiti zake. Akizungumza na...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Irani Imepigana na Marekani na Israel Kuanzia Ramadhani Mosi hadi Kukamilika kwa Mfungo Marekani Inajitoa Taratibu

    https://youtu.be/6n-00-MSepU?si=5h-ekwpDBWc8kBqS
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Irani kusema wanataka Mazungumzo kimeniudhi sana hawa Israel na Usa ni wetu kabisa hawa

    Hawa Makafir tumeshawaweza tunataka mazungumzo ya nini nao? Tuendelee tu kupambana nao Irani inaenda kuwa Taifa kubwa Duniani. Marekani na Israel kwisha habari yao. Wameishiwa mabomu. Wao walikuwa wanalipua michoro na matoy tu. Lakini silaha zenyewe sisi tunazo hatujatumia hata asilimia 1. Sasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani ukweli ni huu

    Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Week hii imechangamka ghafla sana. Huku Israel na Irani wanadundana, ukiangalia kule Pakistan na Afghanistan napo pamoto.

    Warmongers msiishiwe mabando tu ila kazi kwenu😂😂
  18. I

    JamiiForums Tanzania Irani yaondoa meli zake kwenye medani Afrika Kusini

    Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali kushiriki kama mwangalizi tu, vyanzo vyenye taarifa sahihi vimethibitisha kwa News24. Ombi hilo...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  20. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

    Kuna Video nimeona inasambaa ikionesha maandamano Nchini Irani kwa siku nne mfululizo je ndio anguko la taifa la Kiislam la Irani Video hii hapa chini
Back
Top Bottom