Mwisho wa ubabe wa Sanchez wa Madrid 1989/1990…shukran zikaenda kwa Baresi na Costacurta

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
KINGINE TOKA KWA GANG CHOMBA…

Nyota wa zamani wa Real Madrid Hugo Sanchez aliifungia timu hio magoli 38 katika msimu wa miaka ya 1989/1990.

Sasa ni hivi, katika magoli yoote hayo ambayo mwamba alitupia kambani alifunga kwa FIRST TOUCH.

Lakini umwamba wake msimu huo ulikoma Siku walipotua katika Dimba la Sansiro kwa ajili ya Mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya. Madrid walipigwa kipigo cha goli 5-0.

Franco Baresi na Alesandro Billy Costacurta walichagama nae na kuzunguka nae mpaka chooni, mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa Sanchez alikuwa hawezi hata kuvua jezi au hata kuwapungia mashabiki kwa jinsi alivyokuwa kachoka na kuchakaa.

Magoli ya Milan Siku hio yalifungwa na
1. Ancelotti
2. Riijkard
3. Gullit
4. Van Basten
5. Donadoni
 
Sasa Kwa orodha hiyo ya wafungaji kuna timu itatia pua? AC Milan hii inàtajwa kuwa ndiyo kizazi Bora cha Milan kuwahi kutokea na huenda ikawachukua miaka mingi kukipàta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom