uzito

  1. K

    JamiiForums Tanzania Libala: Siri na Uzito wa Ndoa: Je, Wimbo wa 'Libala' wa Reddy Amisi na Viva La Musica Bado Unafundisha Vijana wa Sasa?

    Wimbo wa "Libala" ulirekodiwa na bendi maarufu ya Viva La Musica ikiongozwa na nguli wa muziki Papa Wemba. Msanii Reddy Amisi alikuwa mmoja wa waimbaji wakuu na nguzo muhimu katika bendi hiyo kabla ya kuanza kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Je, mazoezi yana msaada wowote katika kupungua uzito?

    Daktari Selestin Mpiri anaeleza kuhusu umuhimu wa ulaji sahihi (diet) ikilinganishwa na mazoezi katika kupunguza uzito. Mazoezi pekee hayawezi kurekebisha au kufuta madhara ya ulaji mbaya. Ili kupata matokeo ya kupunguza uzito, lazima uunganishe diet nzuri pamoja na mazoezi. Ulaji (Diet) Una...
  3. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana. Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uzito wa dunia yetu ni 6 septrilion kgs..

    Hivi walipimaje uzito huu,nikuulizeni chadomo maana nyie ndiyo huwa mnajua saaana kila kitu. (Tafakuri)
  5. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  6. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

    Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!! Vipi...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

    Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi Yanangoja tu ICC na Vikwazo . Bado RAIA titaandamana kama kawaida Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!! Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuligana na uzito wa cv zao humu JF, haya ni makadirio ya bei za kuomba upigiwe debe biashara au jambo lako na hawa wanachama maarufu

    Ni makadirio tu kulingana na cv zao nzito humu JF Kuwaomba watu hawa wakutangazie biashara yako kwa kuiingiza kijanja kwenye post zao au kuwaomba wakusaidie field waliyobobea, waweza gharamika kiasi hiki Chief-Mkwawa - 200,000 electonics na tech Mshana Jr - 300,000 dawa za mitishamba na...
  9. La gioconda

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza uzito

    Skip breakfast mchana kula kwa kiasi tena mchemsho mpaka kesho mchana tena Achana na sukari mafuta pombe na vyakula vya kukaanga, yote kwa yote fasting ndio mpango mzima
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  11. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

    Nimekua najiuliza sana. Watakaobainika wameongezeka uzito warudie funga.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  13. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Uzito stahili kulingana na kimo cha urefu wako ( Ideal height vs Weight)

    Yazingatie haya;
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mauaji ya kimbari ya Wakristo Nigeria na DRC hayapewi uzito mkubwa kama Gaza?

    Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele. Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
  17. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kupima uzito wa kila neno unaloletewa

    Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari...
  18. Madihani

    JamiiForums Tanzania CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama Kuna Dawa Inachoma Mafuta Mwilini Basi Usiache Kuyala

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
  20. IlakozeOnline Tv

    JamiiForums Tanzania Kuunguza unene na kitambi

    Dawa pekee ya kuchoma tumbo lako liwe tambarare.. Utachoma mafuta ya tumbo ndani ya wiki 2. Katika kikombe cha maji ya moto ongezea maji ya limao nusu, kijiko cha chai cha pilipili manga , tangawizi kijiko kimoja cha chai , turmeric yaani binzari manjano kijiko kimoja cha chai..kijiko kijae...
Back
Top Bottom